Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile
Godlove Isdory

@isdorygidion

Expert and Consultant SRH&GBV Youth Program, Trainer SMART Advocacy Approach

ID: 871807023767310336

calendar_today05-06-2017 19:12:46

442 Tweet

444 Followers

361 Following

Salama Foundation (@salamafound) 's Twitter Profile Photo

Ndoa na mimba za Utotoni huathiri afya ya msichana, elimu, Usalama, na furaha. Pia huwadhulumu wasichana utoto wao, na ndoto zao za baadae. Tupaze sauti kwa pamoja, kupinga. #MichongoSalama #O3Project

Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile Photo

Jamii inatupasa kuweza zaidi katika sekta ya afya hasa katika utoaji huduma rafiki ili kuepusha mimba katika umri mdogo na madhara yatokanayo na mimba katika umri mdogo #MichongoSalama #03Project Salama Foundation @info_lifetz @youth_choice_for_change_tz Her Initiative @crvpf

Jamii inatupasa kuweza zaidi katika sekta ya afya hasa katika utoaji huduma rafiki ili kuepusha mimba katika umri mdogo na madhara yatokanayo na mimba katika umri mdogo #MichongoSalama #03Project Salama Foundation @info_lifetz @youth_choice_for_change_tz Her Initiative @crvpf
Salama Foundation (@salamafound) 's Twitter Profile Photo

Kutoa mimba hakumhakikishii msichana usalama maana wakati wa kushiriki ngono anaweza kuwa kapata maambukizi ya VVU ambavyo huwa havitoki kwa njia ya kutoa mimba. Nilinde nikulinde. #MichongoSalama #O3Project

Ipo haja ya kuwajulisha wenzako msimamo wako wa kimahusiano hata kama utaonekana ni mshamba. Ni bora kuwa mshamba na ukawa salama. Sema hapana, Subiri muda ufike, Soma kwanza. #MichongoSalama #O3Project

Ipo haja ya kuwajulisha wenzako msimamo wako wa kimahusiano hata kama utaonekana ni mshamba. Ni bora kuwa mshamba na ukawa salama. Sema hapana, Subiri muda ufike, Soma kwanza. #MichongoSalama #O3Project
Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile Photo

Wazazi na Walezi ni muhimu kuhakikisha tunalinda ndoto za mabinti zetu na vijana kwa kuweza katika elimu ya Afya ya Uzazi ili kuwalinda na mimba za utotoni na Maambuzi ya Virusi vya ukimwi #MichongoSalama #03Project Salama Foundation @info_lifetz Women Fund Tanzania Trust Maria A Reed Stacey

TAYAH Coalition (@tayahcoalition) 's Twitter Profile Photo

Rebecca Muna ni Mshairi anayechipukia na ni moja kati ya Machampioni wa kampeni ya Binti, na leo katika “Binti Day” ametupatia shairi linaloitwa “NDOA NI PINGU YANGU”. #ENDChildMarriage | #NilindeKwanza

Rebecca Muna ni Mshairi anayechipukia na ni moja kati ya Machampioni wa kampeni ya Binti, na leo katika “Binti Day” ametupatia shairi linaloitwa “NDOA NI PINGU YANGU”.

#ENDChildMarriage | #NilindeKwanza
TAYAH Coalition (@tayahcoalition) 's Twitter Profile Photo

“The African Art Group” wamekua sehemu ya waelimishaji kwa kutumia sanaa. Matumizi ya sanaa kuelimisha katika changamoto zinazoikumba jamii yetu imeonyesha kuleta matokeo chanya ikiwa ni pamoja na kuongeza uelewa kwa jamii. #EndChildMarriage | #NilindeKwanza

“The African Art Group” wamekua sehemu ya waelimishaji kwa kutumia sanaa. Matumizi ya sanaa kuelimisha katika changamoto zinazoikumba jamii yetu imeonyesha kuleta matokeo chanya ikiwa ni pamoja na kuongeza uelewa kwa jamii.

#EndChildMarriage | #NilindeKwanza
Lameck Lawrence (@lawrencelameck) 's Twitter Profile Photo

A team, in my opinion, is similar to a tree that needs nourishment from time to time. To grow stronger and produce productive results. We did good day💪🏿. - Kaka Yake Na Binti. #BintiDay | #ENDChildMarriage | #NilindeKwanza

A team, in my opinion, is similar to a tree that needs nourishment from time to time. To grow stronger and produce productive results.

We did good day💪🏿. - Kaka Yake Na Binti.

#BintiDay | #ENDChildMarriage | #NilindeKwanza
Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile Photo

it’s our Pleasure to be recognized with @bintisalha_foundation as potential Partner during the Book launch stay tune to know more about it, We real recognize your effort on helping Adolescents Girls and Young women in Tanzania Women Fund Tanzania Trust Maria A Reed Stacey Johari Rotana .global

it’s our Pleasure to be recognized with @bintisalha_foundation as potential Partner during the Book launch stay tune to know more about it, We real recognize your effort on helping Adolescents Girls and Young women in Tanzania  Women Fund Tanzania Trust Maria A Reed Stacey Johari Rotana ່.global
Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile Photo

Being a pleasure today to be hosted with @girls_firstinitiative as a part of Facilitator on training Youth Led Organization on Smart Advocacy Approach to link it with #DigitalHealthCare Transform Health @empoweredyouth_campaigns @youth_choice_for_change_tz Johns Hopkins Center for Communication Programs

Girls_firstinitiative (@gfiinitiative) 's Twitter Profile Photo

DAY 02 #DigitalHealthWeek : SMART ADVOCACY. SMART Advocacy relies on the process that's practical, adaptable and transformational. More than 250 organizations and 26 countries use SMART Advocacy on issues such as Health, Rights and Education. Godlove Isdory Transform Health

DAY 02 #DigitalHealthWeek : SMART ADVOCACY.

SMART Advocacy relies on the process that's practical, adaptable and transformational.  More than 250 organizations and 26 countries use SMART Advocacy on issues such as Health, Rights and Education. Godlove Isdory

Transform Health
TAYAH Coalition (@tayahcoalition) 's Twitter Profile Photo

We’re excited to kick off our engagement sessions. On 18th, October (This Tuesday) we are starting with a sneak peek that dive into the introduction of Youth Summit 255. Join us via zoom tomorrow. #TYS2022 | #TAYAHCoalition

We’re excited to kick off our engagement sessions. On 18th, October (This Tuesday) we are starting with a sneak peek that dive into the introduction of Youth Summit 255. Join us via zoom tomorrow.

#TYS2022 | #TAYAHCoalition
Godlove Isdory (@isdorygidion) 's Twitter Profile Photo

it was honored to train around 56 Nurses and CHWs in Morogoro on Special Youth Weekend Clinic Model as a best approach to Increase Access on Health Friendly Services among Adolescents and Youths 😊 appreciation goes to MarieStopes Tanzania to work with me as a Facilitator.

Omuka Hub (@omukahub) 's Twitter Profile Photo

We are in Dodoma for two days, Training Youth from #Tanzania Universities on Introduction to digital rights under Digital Ambassador Program #DAP organized by Pollicy and Omuka Hub is one of the partners.

Young & Alive Initiative (@youngandalivetz) 's Twitter Profile Photo

As we close our doors for the season, we are looking forward to another year of good health and success. We thank you all for your continued support, from Young & Alive Initiative we wish you happy holidays. See you on the 9th of January, 2023! #holidayseason #youngandalive

TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TAWLA Bi. Lulu Ng'wanakilala na Mkurugenzi wetu Bi. TIKE MWAMBIPILE wamepata fursa ya kushiriki kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja ya taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation. #HakiHainaJinsia

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TAWLA  Bi. Lulu Ng'wanakilala na Mkurugenzi wetu Bi. TIKE MWAMBIPILE wamepata fursa ya kushiriki kwenye maadhimisho ya mwaka mmoja ya taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.

#HakiHainaJinsia