Mla Moto.!™ (@innocen60955399) 's Twitter Profile
Mla Moto.!™

@innocen60955399

Never Tell Someone Nothing!!

ID: 1007658013430251527

calendar_today15-06-2018 16:16:06

7,7K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Voice of Bongo (@voiceofbongo) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Ileje Bw. Mnasi Haji amejiwekea utaratibu wa kila siku za Kazi Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa kumi na Mbili na Nusu asubuhi hadi saa Moja na Robo kupita Darasani Kufundisha kabla ya Kuendelea na Majukumu. Amesema yeye Kufundisha Kupo Damuni

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Nasikia kutoka wazazi na madaktari kuwa hii strain ya Corona kwa sasa inawasumbua sana watoto tofauti na mwaka jana! Nimesikia kesi 3 ndani ya mwezi mmoja 👉🏽watoto wanafikishwa hospitalini wakiwa na shida ya kupumua! If trend hii ni ya kweli inatisha 🥲 #VaaBarakoa #CoronaIpo

TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

TANGAZO Habari za wakati huu!! Kumekuwa na watu wanaonitafuta kutoka mikoa mbalimbali wakihitaji kuwa mawakala wangu wa dagaa, napenda kuwapa fursa hiyo hata kwa wakazi wa Dar nikiamini umoja ni nguvu na pia peke angu siwezi kufika kote. Tuwasiliane: 0759855572

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Kheri James asiseme naomba Radhi “kama” na atumie neno naomba Radhi “kwa” kufanya vitendo ABC, neno kama maana yake hajatambua kosa, na Pili, kama ametambua kosa kuwa UVCCM TZ ilitugawa, Ajiuzulu Uenyekiti! He should take political responsibility

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Haya aliyasema Mh Lucy Mageleli mbunge wa viti maalum Chadema.... nakumbuka tulivyozomewa na kuambiwa tunatumiwa na mabeberu... nakumbuka waliojiita wazalendo walivyotushambulia....

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Nimejulishwa kwamba aliyeimba wimbo huu sio Roma Mkatoliki, bali ni Vadee. Nawashukuru kwa kunisahihisha na samahani kwa kaka Vadee kwa usumbufu wowote uliojitokeza. Mengine niliyoyasema yanabaki vile vile!

TANGA FRESH LIMITED (@tangafresh) 's Twitter Profile Photo

Hii haihitaji Friji, furahia ladha ya maziwa halisi yanayoduma hadi siku 90 huku ukiimarisha afya yako. Sasa yapo madukani ndani ya ujazo wa 200ml na 450ml. #TangaFresh

Hii haihitaji Friji, furahia ladha ya maziwa halisi yanayoduma hadi siku 90 huku ukiimarisha afya yako. Sasa yapo madukani ndani ya ujazo wa 200ml na 450ml. 

#TangaFresh
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Makerere University Graduation: Honorary procession, July 1970: Presidents: Julius Nyerere (Tanzania), Mzee Jomo Kenyatta (Kenya), Kenneth Kaunda (Zambia) & Milton Obote (Uganda) in procession. Carrying the mace is incumbent Kisumu Governor Prof. Anyang Nyong (father of Lupita)