Ingryd👸🏻 (@ingryddae1) 's Twitter Profile
Ingryd👸🏻

@ingryddae1

TRUST the PROCESS..GOD will do the REST..!!🙏

ID: 1395002800510324736

calendar_today19-05-2021 13:06:14

27,27K Tweet

2,2K Takipçi

822 Takip Edilen

Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

MSAADA TUTANI 🙏🏻 Controll no:TU233551219139 Jina:Ndelema Damas Dear brothers and sisters, Nipo hapa kwa jambo moja kuomba msaada kutoka kwenu, Mimi nasoma chuo(Tudarco) nipo mwaka wa tatu na mwezi wa7 ikimpendeza Mungu nitamaliza ila nina changamoto ya ada inanikabiri…👇🏾

MSAADA TUTANI 🙏🏻

Controll no:TU233551219139
Jina:Ndelema Damas

Dear brothers and sisters,

Nipo hapa kwa jambo moja kuomba msaada kutoka kwenu, Mimi nasoma chuo(Tudarco) nipo mwaka wa tatu na mwezi wa7 ikimpendeza Mungu nitamaliza ila nina changamoto ya ada inanikabiri…👇🏾
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna mtu alikuwa na ukaribu na Brosk anicheck DM tuone kama anapokaa tunaweza kupafikia hata kama ni mkoani tuone tunafanyaje. Hatuna uhakika kama ndugu yetu yupo salama tunahitaji kujiridhisha REPOST REPOST REPOST 🙏🙏

Kama kuna mtu alikuwa na ukaribu na Brosk anicheck DM tuone kama anapokaa tunaweza kupafikia hata kama ni mkoani tuone tunafanyaje.
Hatuna uhakika kama ndugu yetu yupo salama tunahitaji kujiridhisha

REPOST REPOST REPOST 🙏🙏
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Kama nilivowaomba kuwa kwenye maombi yenu msiache kumuombea Sativa anaenda kwenye Upasuaji ndio hivo hivo nakuja kuwashukuru kwa maombi yenu ambayo Mungu ameyajibu kwa 100%. After Two days finally amerudi wodini kutokana na kuwa Surgery ilifanyika eneo la taya kwa takribani masaa

Kama nilivowaomba kuwa kwenye maombi yenu msiache kumuombea Sativa anaenda kwenye Upasuaji ndio hivo hivo nakuja kuwashukuru kwa maombi yenu ambayo Mungu ameyajibu kwa 100%.
After Two days finally amerudi wodini kutokana na kuwa Surgery ilifanyika eneo la taya kwa takribani masaa