Broski_ (@kingston_kappa) 's Twitter Profile
Broski_

@kingston_kappa

One day, I am going make the onions cry|Directed by Me| #Simba #LFC #Dubnation.

ID: 1740119765518094336

calendar_today27-12-2023 21:18:03

27,27K Tweet

795 Followers

464 Following

Broski_ (@kingston_kappa) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo kama nchi mnashika lipi? Maandamano yalikuwepo au lah, watu walikufa au lah.. ni wageni au sio? Hizo dk za kuombea waliokufa ni wakinani?

MIRIAM๐Ÿ’œ (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mungu awabariki sana wote jana mapenzi yenu yalini heremea sikuweza kujibu jumbe zenu zote kwakweli๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ Kutoka ndani ya moyo wangu ninashukuru sana, Na Mungu azidi kutubariki sote tulio chagua kukaa upande wa Utu na Haki๐Ÿ™ Swala la kuolewa nalifanyia kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mbarikiwe๐Ÿ’œ

Mungu awabariki sana wote jana mapenzi yenu yalini heremea sikuweza kujibu jumbe zenu zote kwakweli๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

Kutoka ndani ya moyo wangu ninashukuru sana, Na Mungu azidi kutubariki sote tulio chagua kukaa upande wa Utu na Haki๐Ÿ™

Swala la kuolewa nalifanyia kazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mbarikiwe๐Ÿ’œ
Broski_ (@kingston_kappa) 's Twitter Profile Photo

Leo naona viongozi mbalimbali wakihimiza uchunguzi, wakitoa pole, wakihamasisha amani zaidi.. na mwisho kabisa watatoa sifa na pongezi na kumuuita msikivu.. Ila kati haya yote neno HAKI, litafichwa.

Broski_ (@kingston_kappa) 's Twitter Profile Photo

Ile video ya mochwari ๐Ÿ’”๐Ÿ’” Miili Imerundikwa kama magunia stoo.. unataka kujenda nchi from that?? ๐Ÿ’”๐Ÿ’”