Iddi_iddijuma (@iddstar_07) 's Twitter Profile
Iddi_iddijuma

@iddstar_07

TOUR OPERATOR & CONSERVETOR OF HERITAGE RESOURCES (ZNZ)||

UTU,UPENDO,HESHIMA,HAKI NA USTAARABU.||

||SOCIALIST||
CHELSEAπŸ’™||YANGAπŸ’›

ID: 1183669366937784320

calendar_today14-10-2019 09:02:37

4,4K Tweet

5,5K Followers

5,5K Following

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Zamani jumuiya ya vijana wa TANU ilikuwa ni β€œThink Tank” ya chama, Jumuiya hii ilikuwa sauti ya Vijana, inayochambua mambo kwa mapana na kuishauri au kuikosoa Serikali na kutetea haki za watu. Ilikuwa na vijana Makini walioamini katika utu, haki na Ukweli. Waliheshimika sana.

Iddi_iddijuma (@iddstar_07) 's Twitter Profile Photo

Kutoa ni Moyo si Utajiri tujitoe kwa ndg. Yetu apatiwe matibabu arudi kwenye majukumu yake ya kila siku. Tusisahau kumuombea anapitia wakati mgumu sanaaπŸ™πŸΎ SATIVA17

Kutoa ni Moyo si Utajiri tujitoe kwa ndg. Yetu apatiwe matibabu arudi kwenye majukumu yake ya kila siku. Tusisahau kumuombea anapitia wakati mgumu sanaaπŸ™πŸΎ <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a>
Iddi_iddijuma (@iddstar_07) 's Twitter Profile Photo

Askari akikukamata Hujafunga Mkanda ama Hujavaa Helmet. Anaonesha kukerwa sanaaa kwa Kuhatarisha Usalama wako kiasi Kwamba Akushtaki, Akupige faini ama Akuombe Rushwa ili akunyooshe. Ila Huku kwenye Usalama wa Raia Kutekwa hainekani Spirit Ile Ile kumlinda.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Sio Askari, wala hana Mafunzo rasmi ya Uokoaji. Ila amesukumwa na Moyo wa kusaidia na kuokoa maisha ya watu Kariakoo. Respect sana kwake na wale wote waliojitoa kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu.

Sio Askari, wala hana Mafunzo rasmi ya Uokoaji. Ila amesukumwa na Moyo wa kusaidia na kuokoa maisha ya watu Kariakoo. Respect sana kwake na wale wote waliojitoa kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu.
SHERIA NGOWI β„’ (@sheriangowi) 's Twitter Profile Photo

Young Africans SC 𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”° Designed by SHERIA NGOWI β„’ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Young Africans SC 
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 πŸπŸŽπŸπŸ’/πŸπŸ“ - π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“πŸ”°

Designed by <a href="/SheriaNgowi/">SHERIA NGOWI β„’</a> 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ TP MazembeπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 14.12.2024 🏟 Stade TP Mazembe πŸ•– 3pmπŸ‡¨πŸ‡©4pmπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° 

πŸ† #CAFCL 
⚽️ TP MazembeπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
πŸ•– 3pmπŸ‡¨πŸ‡©4pmπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Sisi wazazi wa watoto wa kike, ombi letu kwa wazazi wa watoto wa kiume ni kuwalea watoto wenu wajue kujali, kusamehe, na kuwa na imani kwa wanawake. Sisi tukiwaandaa wanetu wa kike kuwa wake na mama wema haisaidii sana ikiwa ninyi hamuwaandai wenu kuwa waume na baba bora."