Soaring Eagle 🦅 (@iantarimo) 's Twitter Profile
Soaring Eagle 🦅

@iantarimo

Social Entrepreneur l Leadership Impact Award Winner @WashFellowship l Builders of Africa Future Awardee #Chevener #SoaringEagle 🦅

ID: 183291801

linkhttp://www.tai.or.tz calendar_today26-08-2010 17:00:00

15,15K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Leddy (@leddyllc) 's Twitter Profile Photo

Every person over 35 blames aging for their stiff, aching joints. Turns out it's not age... it's years of neglect catching up. Here are 8 simple ways to rebuild your joints and feel 25 again🧵:

Kamala Dickson (@itskamala) 's Twitter Profile Photo

Gharama za kumsomesha Dakitari mpaka akawa bingwa na si bigwa tu ila amefanya majaribio ya kuondoa Damu iliyoganda kwenye Ubongo ni kilio sana Mwenyezi Mungu awe pamoja na familia yake na sie tutaomba Mungu akumbukwe siku ya hukumu Amen

Ado Shaibu (@adoshaibu) 's Twitter Profile Photo

Taifa linapofanya kuwa ni suala la kawaida watu kupotea na kisha kuokotwa wakiwa wameuawa ni Taifa linalojipeleka kaburini. Kuheshimu uhai wa watu ni tunu muhimu ya uhai wa Taifa husika. Hakuna uhai wa Taifa bila uhai wa watu.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Unamsikia binti anasema “Mimi siasa sio vitu vyangu”😁 Kikubwa nakula nashiba nalala naamka! Au kijana wa maana kabisa anakwambia “Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda” Kikubwa uhai tu!!😁 Binti au kijana huyo huyo akienda kupanda mwendokasi akakutana na

NEFERTITI (@firstladyship) 's Twitter Profile Photo

Ghana Cedi is the best-performing currency in the world. The Cedi is up by 50%. It took the new president just 5 months to make it happen.

FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Sauti ya Sikukuu ya Pentecost, Sauti ya Kanisa, Sauti ya Maaskofu. Sauti ya Makamu Mkit wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa Roma locuta, causa finita, uelekeo ni Reforms Kwanza.

Tai (@tai_impact) 's Twitter Profile Photo

June 13 is International Albinism Awareness Day. People with albinism deserve visibility, protection, and dignity not fear or discrimination. Let’s rewrite the narrative together: Protect their skin. Preserve their lives. Promote inclusion. Share. Educate. Take a stand.

June 13 is International Albinism Awareness Day. People with albinism deserve visibility, protection, and dignity not fear or discrimination.

Let’s rewrite the narrative together:

Protect their skin.
Preserve their lives.
Promote inclusion.

Share. Educate. Take a stand.
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Tanzania haipaswi kuwa nchi ya walaji (consumers) wa kila kitu kutoka nje. Tunapaswa kuwa waumbaji na wabunifu wa kesho yetu. Sera zetu ziwe thabiti zinazochochea ubunifu, zenye kuunda nafasi kwa mawazo mapya na teknolojia. Tuiangalie Tanzania yetu kwa lenzi ya miaka mingi

BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

Mwape Chimpampa, a 15-year-old secondary school student from Zambia, was driven to create an affordable sunscreen for people with albinism after her father, who had albinism, died from skin cancer in 2017. #FocusOnAfrica's Audrey Brown finds out more🎧 bbc.in/4kXjW3z

Mwape Chimpampa, a 15-year-old secondary school student from Zambia, was driven to create an affordable sunscreen for people with albinism after her father, who had albinism, died from skin cancer in 2017. #FocusOnAfrica's <a href="/BBC_AudreyB/">Audrey Brown</a> finds out more🎧 bbc.in/4kXjW3z
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya 80% ya Watanzania wana ujuzi mdogo. Wenye elimu ya cheti au zaidi ni chini ya 15%. Tunapaswa kuwekeza zaidi katika kuboresha ujuzi na elimu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Ni miongoni mwa misingi muhimu ya maendeleo ya kweli ya taifa letu.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Uwezo wa kutunza faragha ya maisha binafsi unaepusha mengi. Si watu wengi wanahitaji kujua unachotarajia, unachopanga, aibu unazopambana nazo, fedheha unazopitia kilichotokea, ulichofanikiwa, unachofurahia, mitihani unayopitia, machozi yanayokutesa, na kadhalika. Ikiwa

Tai (@tai_impact) 's Twitter Profile Photo

Happy Father’s Day to all the incredible fathers and father figures who continue to inspire, support, and raise the next generation of leaders. At Tai, we celebrate you the mentors, caregivers, teachers, and changemakers who believe in the power of youth and stand beside them

Happy Father’s Day to all the incredible fathers and father figures who continue to inspire, support, and raise the next generation of leaders. 

At Tai, we celebrate you the mentors, caregivers, teachers, and changemakers who believe in the power of youth and stand beside them
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kuishi maisha ya faragha kwa kiwango ambacho ukisikia mtu anajua jambo lako fulani hupati shida kujua amelitoa wapi. Faragha ya kiwango hiki hupunguza mahangaiko na usumbufu usio wa lazima.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Faragha huongeza utulivu wa nafsi. Utulivu, unaoupata unapokuwa mahali peke yako, hukupa muda wa kurudi ndani yako, kujitafakari, kujikosoa na kujitambua kuliko unapozungumza na kuzungukwa na watu muda wote.

Ben Kelly (@benkellyone) 's Twitter Profile Photo

Boring businesses are the ultimate cash cow. If you want financial freedom, buy one of these money printing machines (8 options): 1) Pool Cleaning

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

We wish our 2025 #YALI Mandela Washington Fellows all the best as they travel to the United States to begin their six-week leadership training programs in business, civic engagement, and public management at various U.S. colleges or universities! #TukoPamoja #YALI2025

We wish our 2025 #YALI Mandela Washington Fellows all the best as they travel to the United States to begin their six-week leadership training programs in business, civic engagement, and public management at various U.S. colleges or universities!

#TukoPamoja #YALI2025