Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile
Christian Bwaya

@bwaya

U S H U N U Z I — P S Y C H O L O G Y

ID: 38410139

calendar_today07-05-2009 11:03:48

39,39K Tweet

12,12K Followers

948 Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Uwezo wa kutunza faragha ya maisha binafsi unaepusha mengi. Si watu wengi wanahitaji kujua unachotarajia, unachopanga, aibu unazopambana nazo, fedheha unazopitia kilichotokea, ulichofanikiwa, unachofurahia, mitihani unayopitia, machozi yanayokutesa, na kadhalika. Ikiwa