Hussein N Hussein (@husseinwallagah) 's Twitter Profile
Hussein N Hussein

@husseinwallagah

ID: 2239684485

calendar_today23-12-2013 11:20:08

495 Tweet

154 Followers

300 Following

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Binadamu mwenzio akikukosea na akakuomba msamaha, mkubalie. Wewe Mwenyezi Mungu umemkosea mangapi? Na angetuadhibu mara tu tufanyapo kosa, kweli angesalimika au angebaki mtu? #KSK

TONY (@hugoseal) 's Twitter Profile Photo

Khadija Ben Hamou is the first black woman to win the title of Miss Algeria Beauty Pageant. You are Beautiful..Don't let all the negative racist things some of your people are saying weigh you down. You are blessed. Keep shinning. Black is Beautiful.

Khadija Ben Hamou is the first black woman to win the title of Miss Algeria Beauty Pageant.
You are Beautiful..Don't let all the negative racist things some of  your people are saying weigh you down. You are blessed. Keep shinning. Black is Beautiful.
Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

“The Hunting More for Less” reforms: Tumekamilisha safari ya zaidi ya mwaka mmoja wa kufanya mapinduzi makubwa kwenye sekta ndogo ya uwindaji wa kitalii. Ninaimani mabadiliko makubwa ya kisera na kimkakati... facebook.com/HKigwangalla/v…

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Leo Tarehe 3 /Nov /2019 Mnada wa pili umefanyika ktk chama kikuu cha Runali wilaya ya Nachingwea , Bei ya juu ilikuwa 2,625 na bei ya chini ilikuwa 2,567. Korosho zilizopelekwa mnadani zilikuwa 438,686kg lakini mahitaji yalikuwa 4,342,744kg.

Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Vijana mtanisamehe sana kuwakumbusha: “Mbora miongoni mwenu ni yule anayekuwa mnenyekevu kadri anavyo panda cheo.” ~ Mtume Muhammad (S.A.W) #KSK_Balozi

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya sanaa ni kuonesha palipo na kasoro na palipo na jema kwa faida ya jamii nzima. Natumia fursa hii leo kumpongeza Nandy katika video yako mpya Nandy ft. MAGUFULI TENA youtu.be/rrKhRQ5hnD0

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Anaahidi na anatekeleza; endelea kuitazama safari ya miaka minne ya kazi na kuiboresha Tanzania kuwa ya kisasa zaidi, Tanzania ya ndoto za wengi. Jumapili njema. #TUMEAMUA #TUNATEKELEZA2019

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

#JPMDodoma “Nawapongeza sana Idara ya Uhamiaji kwa passport yenu mpya ya kielektroniko kwa kushinda tuzo bora katika ukanda wa Ulaya, Mashariki ya Kati na Afrika kwa kukidhi viwango vya ubora wa kiusalama.... 1/2

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

#JPMNzega “Nawapongeza wote walioshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hiyo ndio Demokrasia ya kweli, endeleeni kuilinda amani ya nchi hii” Dr John Magufuli #TZUpdates

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

TAMKO: 1. Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje.

Acacia Africa (@acaciaafrica) 's Twitter Profile Photo

Grab a front row seat to the annual wildebeest migration on our #MaasaiMara 4 day #safari: acacia-africa.com/tours/maasai-m…

Grab a front row seat to the annual wildebeest migration on our #MaasaiMara 4 day #safari: acacia-africa.com/tours/maasai-m…
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Waziri wa Afya @UMwalimu amesema atatuma timu ya wataalamu wa afya kufanya tathmini na kuepusha magonjwa ya mlipuko mkoani Kagera.

#HABARI Waziri wa Afya @UMwalimu amesema atatuma timu ya wataalamu wa afya kufanya tathmini na kuepusha magonjwa ya mlipuko mkoani Kagera.
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Leo asubuhi nimewasilisha Kwa Katibu wa Bunge barua ya kusudio la kuwasilisha Hoja Binafsi ya kuunda Kamati Teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayoonesha kutishia umoja, usalama na mshikamano wa Taifa letu.