Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile
Nape Nnauye

@napemnnauye

ID: 3287957939

calendar_today18-05-2015 05:32:28

21 Tweet

2,2K Followers

116 Following

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

Do something you believe in.Think less of becoming an excellent student,but think more of an excellent person.Make the world your classroom!

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

"Mwanachama aliyepewa adhabu ya OnyoKali atakuwa katika hali ya kuchunguzwa kwa muda USIOPUNGUA miezi 12"KANUNI ZA UONGOZI NA MAADILI 8(ii)b

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

School rewards people for their memory. Life rewards people for their imagination. School rewards caution, life rewards daring.

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

"Yameanza mawazo kuwa uongozi unaweza kununuliwa kwa fedha. Tusipokuwa waangalifu, nchi yetu inaweza kuwekwa rehani kwa watu wenye fedha" Jk

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

Chama Cha Mapinduzi, Chama cha Kambarage, HAKIKA hakijawahi kuuza na hakitauza cheo na hasa Urais! Tusipoteze muda kujaribu kununua!

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

"Taarifa hizo zitatumika katika kuwapima na kuamua kama wana sifa za kutosha na wanafaa/hawafai katika kupata uteuzi wa nafasi wanayoiomba."

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

Usivunje mtungi ili kumuua panya, inamisha taratibu mtoe panya ua, na utabaki na mtungi wako salama! CCM tumeshainamisha mtungi,twamsubiri!

Nape Nnauye (@napemnnauye) 's Twitter Profile Photo

Makongoro kakaangu, inamisha mtungi taratibu tafadhali! Kashaanza kuchungulia, lakini tutumie timing huyu panya mjanja kidogo!