John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile
John Heche

@hechejohn

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

ID: 558686364

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche calendar_today20-04-2012 12:45:14

82,82K Tweet

777,777K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni Korogwe, mvua imenyesha tani laki tatu…. Lakini wananchi wamebaki wanamsikiliza Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche akiwaeleza kwa kiwango gani MaCCM yameharibu Mkoa wa Tanga na kuwafanya wakazi wa wilaya kongwe ya Korogwe kuwa maskini kiwango cha kutisha.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mhe. John Heche akizungumza na Wananchi wa Korogwe mjini licha ya mvua kubwa inayonyesha lakini Wananchi hawakuondoka Uwanjani walibaki kusikiliza nondo za #NoReformsNoElection NB. Huu ni mkutano wa saa 3 asubuhi.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Tanga ilipaswa kuwa Mji wa Bandari na Viwanda, kwanini Mwalimu Nyerere alileta hapa viwanda na Bandari? kwasababu ni karibu na usafirishaji. China imeendelea kwasababu ya kujenga viwanda kwenye Miji ya pembezoni mwa bahari na ndiyo maana malighafi zinatolewa kwa wingi China

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Picha ya siku Hii picha imepigwa leo Korogwe mjini. Kwenye mkutano wa CHADEMA, Mvua imenyesha kubwa sana lakini huyu Mzee pamoja na umri wake hakuondoka Uwanjani. Amesikiliza nondo za #NoReformsNoElection mwanzo, mwisho. Binafsi hii imenibariki sana.🙏🥰

Picha ya siku

Hii picha imepigwa leo Korogwe mjini.

Kwenye mkutano wa CHADEMA, Mvua imenyesha kubwa sana lakini huyu Mzee pamoja na umri wake hakuondoka Uwanjani.

Amesikiliza nondo za #NoReformsNoElection mwanzo, mwisho.

Binafsi hii imenibariki sana.🙏🥰
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, CHADEMA tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti John Heche na Katibu Mkuu MNYIKA John John tumetembelea nyumbani kwa Mzee #AliMohammedKibao na kusalimia familia. Pichani ni mjane wa Mzee Ali Kibao akilia kwa uchungu. Serikali ya MaCCM ni KATILI sana.

Baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, CHADEMA tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> na Katibu Mkuu <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> tumetembelea nyumbani kwa Mzee #AliMohammedKibao na kusalimia familia. Pichani ni mjane wa Mzee Ali Kibao akilia kwa uchungu. Serikali ya MaCCM ni KATILI sana.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Tanga, tumemaliza ziara yetu kanda ya Kaskazini. Kanda ya Kati get ready. Morogoro, Dodoma, Singida Tunakuja na oparesheni #NoReformsNoElection .

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mvua haikuweza kukatisha kiu ya mzee huyu kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA leo hii mkoani Tanga Lakini unakuta kuna kijana mwenye nguvu anaamini kupitia uchawa na kulamba makalio ya watawala

Mvua haikuweza kukatisha kiu ya mzee huyu kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA leo hii mkoani Tanga

Lakini unakuta kuna kijana mwenye nguvu anaamini kupitia uchawa na kulamba makalio ya watawala