Gulioni (@gulioni) 's Twitter Profile
Gulioni

@gulioni

Tunakujia hivi karibuni! Kutoka mtandaoni hadi nyumbani! Tembelea gulioni.co.tz kujua zaidi! πŸ›’

ID: 4814194533

linkhttp://www.gulioni.co.tz calendar_today15-01-2016 12:58:36

20 Tweet

746 Followers

20 Following

Gulioni (@gulioni) 's Twitter Profile Photo

Wana-Gulioni wanaungana na Watanzania katika kuomboleza kifo cha Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa. Kwa pamoja tunawaombea familia ya marehemu, washirika wake na Watanzania kwa ujumla wapate faraja wakati wa msiba huu mkubwa! #RIPMkapa

Wakati mujarabu kupita kwenye website yetu msimu huu wa sikukuu kwa kila utakacho agiza kuna Offer mbalimbali #Gulioni #GulioniSanta Uhuru kiganjani mwako....

Wakati mujarabu kupita kwenye website yetu msimu huu wa sikukuu kwa kila utakacho agiza kuna Offer mbalimbali #Gulioni #GulioniSanta 

Uhuru kiganjani mwako....
Gulioni (@gulioni) 's Twitter Profile Photo

Kwa mahitaji ya nyumbani tuachie gulioni.co.tz nasi tutakuletea hadi nyumbani ni rahisi na nafuu. #GulioniSanta #Gulioni

Kwa mahitaji ya nyumbani tuachie gulioni.co.tz nasi tutakuletea hadi nyumbani ni rahisi na nafuu.

#GulioniSanta 
#Gulioni
Essay help, Homework & Online class helper (@genesisessays) 's Twitter Profile Photo

Kuna Sehemu Unaenda Mpaka Unaogopa Kuulizia Beii Unarudi Na Ka Hela Kako Mfukoni,Lakini Ukienda Gulioni Unapata Vitu Kwa Beii Nzuri Kama Usipokuwa Makini Unaweza Kujikuta Umetumia Mpaka Nauli, Pata Punguzo Ya Bei Kwa Kila Bidhaa Utayonunua #Gulionisanta

Kuna Sehemu Unaenda Mpaka Unaogopa Kuulizia Beii Unarudi Na Ka Hela Kako Mfukoni,Lakini Ukienda Gulioni Unapata Vitu Kwa Beii Nzuri Kama Usipokuwa Makini Unaweza Kujikuta Umetumia Mpaka Nauli, Pata Punguzo Ya Bei Kwa Kila Bidhaa Utayonunua
#Gulionisanta
Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

Rasmi acount ya Diamond imefutwa ktk mtandao wa YouTube, ni kutokana na yule Hacker kustream Live Content ambazo hazirusiwi kuonekana YouTube,.πŸ™„πŸ™„

Rasmi acount ya Diamond imefutwa ktk mtandao wa YouTube, ni kutokana na yule Hacker kustream Live Content ambazo hazirusiwi kuonekana YouTube,.πŸ™„πŸ™„
Gulioni (@gulioni) 's Twitter Profile Photo

Wakati ni pesa! Ukiopoteza haurudi tena! Unapofanya maamuzi ya kununua chochote, umejumlisha na thamani ya muda? #Gulioni

Gulioni (@gulioni) 's Twitter Profile Photo

Tambua thamani ya akina mama, wao ndio uti wa mgongo wa jamii yetu! Heri ya Siku ya Wanawake! Na Malengo ya Usawa Yatimie #IWD2016 #Gulioni