flex_Visual_Studio
@flex_visual
Owner: Flex Visual Studio|WNB Collection(House Of Bracelets)| Instagram: flex_visual_studio Facebook: Flex Visual Studio
ID: 1336701948918108161
09-12-2020 15:59:43
1,1K Tweet
133 Followers
369 Following
WHYMYCATISSAD Kwenye maisha Kuna siku utajikuta huna kabisa huna pesa, huna mtu wa kuzungumza naye, huna msaada wowote. Ila ukijikaza tu, ukiamka kila siku ukiwa na imani hata kama kidogo, utashangaa jinsi giza linavyogeuka kuwa mwangaza.