
Grounders_Grounders
@grounders_
A GROUP OF THE ACTIVISTS ARE VOLUNTEER'S, TO FIGHT FOR HUMAN RIGHT, GOOD GOVERNANCE AND LAW 👣🌏🗺️
ID: 1664512147773177857
02-06-2023 06:00:30
4,4K Tweet
1,1K Takipçi
90 Takip Edilen









#StopAbductionInTanzania🇹🇿 Mhe. Rais Samia Suluhu tunaomba majibu ya Watanzania wenzetu wakina DEUSDEDITH SOKA, Mdude Nyagali na wenzao wote waliotekwa na kupotezwa wapo wapi? #FreeDeusdedithSoka #FreeMdudeNyagali #FreeDionizKipanyaAndOthers




SAY THEIR NAMES: 👉🏽Deusdedith Soka 👉🏽 Mdude Nyagali These two young men have been disappeared by state backed operators in #Tanzania The regime of Samia Suluhu runs a rogue state that has no rule of law and uses abductions as a political tool #FreeDeusdedithSoka




Yupo wapi DEUSDEDITH SOKA? Yupo wapi SHADRACK CHAULA? Yupo wapi MDUDE NYAGALI? Yupo wapi DIONIZ KIPANYA? Yupo wapi MANENGELO? Kama taifa tupaswa kuendelea kuwadai hawa Watanzania wenzetu waliotekwa. Pia tunapaswa kukemea sana. Asante Maria Sarungi Tsehai kwa kuendelea kukemea huu uovu.