GODISA (@godisamwalimu) 's Twitter Profile
GODISA

@godisamwalimu

Psychologist
Teacher
politician
Speech Motivator

ID: 3243083355

linkhttp://www.Godwinsam.com calendar_today09-05-2015 08:29:32

8,8K Tweet

679 Takipçi

530 Takip Edilen

GODISA (@godisamwalimu) 's Twitter Profile Photo

Bi Namelock Moringe Sokoine atakuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Tanzania kwa siku za usoni. Namtakia kila laheri katika maandalizi ya majukumu mazito yajayo.

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Biashara Asubuhi, Mahesabu Jioni. Leo, Jumamosi ya tarehe 28 Juni 2025, saa mbili kamili asubuhi, nimekuwa mtia nia wa kwanza kufika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuchukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Siha. Hatua hii

Biashara Asubuhi, Mahesabu Jioni.

Leo, Jumamosi ya tarehe 28 Juni 2025, saa mbili kamili asubuhi, nimekuwa mtia nia wa kwanza kufika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuchukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Siha.

Hatua hii
Charity Flora✨ (@charityflora1) 's Twitter Profile Photo

Neno "Hapana" Au "Sina" Halimaanishi Ubaya Au Chuki Sababu Hatuwezi Kuwa Na Kitu Wakati Wote Au Kukubalina Na Kila Kitu Wanachokisema Watu.

DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Nakiri nilikosea, siwezi kujifanya kiziwi, kipofu ikiwa naona na nasikia. Siwezi kusonga mbele wakati safari ni ngumu kutembea siwezi moyo na mwili havifanyi kazi sababu ya maumivu. Nilikosea, siwezi kurekebisha makosa ila naweza kuanza upya. Naomba radhi wote niliowaangusha.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wafilipi 2:3-4 “Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno, bali kwa unyenyekevu, mtu na amhesabu mwenzake kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wenzake.”