Ginna (@ginna1710) 's Twitter Profile
Ginna

@ginna1710

Tech is Life 💪 (Dare Devil)
#StopCyberBullying✋
Alhamdulillah for everything 🙏🏾

ID: 1099922494134341633

calendar_today25-02-2019 06:42:12

4,4K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama Kuu. "Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hey Elon Musk Support please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

Hey <a href="/elonmusk/">Elon Musk</a> <a href="/Support/">Support</a> please reinstate human rights defender @sativa255’s account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Wakuu huyu ni Ndugu yangu anaitwa Innocent Paul Chuwa anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa Takribani Wiki sasa kwa makosa ya kimtandao kosa ambalo kisheria lina Dhamana. Tusimsahau wazee please Huyu mwana sana 🙏🙏

Wakuu huyu ni Ndugu yangu anaitwa Innocent Paul Chuwa anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa Takribani Wiki sasa kwa makosa ya kimtandao kosa ambalo kisheria lina Dhamana. 

Tusimsahau wazee please Huyu mwana sana 🙏🙏
Ginna (@ginna1710) 's Twitter Profile Photo

Hana jeshi huyu, hana silaha huyu kosa lake kubwa ni "kusema kweli" , lakini wanaofanya matumizi mabaya ya pesa za uma,wanaouza rasilimali za nchi hawakamatwi🚮 #FreeKiduku HAKI huinua Taifa 💪🏾💪🏾✌🏾

Hana jeshi huyu, hana silaha huyu kosa lake kubwa ni "kusema kweli" , lakini wanaofanya matumizi mabaya ya pesa za uma,wanaouza rasilimali za nchi hawakamatwi🚮 
#FreeKiduku 
HAKI huinua Taifa 💪🏾💪🏾✌🏾
Ginna (@ginna1710) 's Twitter Profile Photo

Uzuri ni kwamba, hawezi kutuua wote wala kutufunga wote, watambue tu Kila damu waliyo /wanayo mwaga itanene kudai HAKI

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! Repost, share, paza sauti 🗣️ #FreeKiduku #FreeFridaMikoroti #FreeFarida #FreeIsaka

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! 

Repost, share, paza sauti 🗣️

#FreeKiduku  
#FreeFridaMikoroti #FreeFarida  
#FreeIsaka