Gidofond.. (@gidofond6) 's Twitter Profile
Gidofond..

@gidofond6

 || Activist || Driver || Printing Technician & Graphics Designer || Voice Over Artist || Young African's fan 🇹🇿🔰.

ID: 1191067524538011649

linkhttp://www.willygido84.co.tz calendar_today03-11-2019 19:00:41

4,4K Tweet

177 Followers

184 Following

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kuwa vizuri kifedha hakumaanishi kwamba una pesa nyingi Bali ni namna unavyofanya maamuzi, Namna unavyofikiri na tabia sahihi ISHARA 5 ZINAZOONESHA UPO VIZURI KIFEDHA.

Kuwa vizuri kifedha hakumaanishi kwamba una pesa nyingi

Bali ni namna unavyofanya maamuzi, 

Namna unavyofikiri na tabia sahihi

ISHARA 5 ZINAZOONESHA UPO VIZURI KIFEDHA.
THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

1. UNA CONTROL YA PESA ZAKO Sio kila hela inayoingia ina matumizi ya kiholela. Unajua inaenda wapi kabla hata haijaingia. Kwa lugha rahisi unaishi kwa kufata bajeti, maana bajeti ndio ramani ya pesa zako

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kama kufanikiwa ingekuwaga ni rahisi basi kila mtu angefanikiwa Ili ufanikiwe 1. Kuna tabia lazima uzijenge 2. Kuna mifumo lazima uiishi 3. Kuna changes lazima uzifanye 4. Kuna mambo lazima uyaaache 5. Na kuna watu lazima uwaache Ni sheria.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Pesa unazopata lazima zifanye kazi pia. Kama mapato yako yote yanaishia kwenye raha za papo kwa papo, unabaki palepale. Uwekezaji, hata ukiwa mdogo, hubadilisha mwelekeo wa maisha yako. Nje na hapo, utafanya kazi maisha yako yote. #ElimikaKifedha

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

“Watu wenye akili wanaposoma, hujiuliza swali rahisi, Nipange kufanya nini na taarifa hii?” — Ryan Holiday Unayojifunza unayafanyia kazi..?

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni kwamba UTU UZIMA sio UMRI bali ni kutambua haya mambo 15. 1. Wewe ni kile unachofanya kila siku na sio kile unachoahidi kufanya. 2. Watu wengi hawatatambua thamani yako mpaka watakapohisi kukosekana kwako. 3. Usipiganie mtu akupende..pigania yule ambaye tayari

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kujitafuta kwako kumbuka haya.. 1. Mtegemee Mungu kwenye kila jambo. 2. Thamini kesho yako, kuliko raha za muda mfupi. 3. Kesho yako, inatengenezwa na unayofanya leo. 4. Heshimu sana ule muda ambao hakuna anaekuona. 5. Wekeza sana kwako, maana ndo uwekezaji wenye

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Pesa unazotumia katika kuboresha muonekano wako, kujifunza, afya yako na familia yako sio pesa iliyopotea.. Kamwe usiwe mtu wa bei rahisi unapowekeza katika nafsi yako.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Sheria za pesa. Pesa iliyokaa bila kuwa na kazi, always inasubiri kutumiwa Iweke kwenye -Biashara ndogo -Uwekezaji -Assets #ElimuBure

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

-Jifunze kujielezea. -Jifunze ku-communicate na watu. -Jifunze ku-network na watu kimkakati. -Usipoteze uaminifu kwa watu wanaokuamini. Good morning everyone.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

1. UNAANZA KUFURAHIA NIDHAMU. Kuamka mapema, kufanya mazoezi kwa bidii, kufanya kazi hadi usiku. Wengine wanachochukia… wewe unaanza kukipenda. Wengine wanavyovikwepa wewe unavifanya. Hapo ndipo unaanza kujenga thamani.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume. 1. Usifanye hili uonekane, fanya kama ndo utambulisho wako. 2. Usiishi kwa kwa mazoea, ishi kwa kulifata KUSUDI lako. 3. Usifanye ili usifiwe, fanya ili utimize ulichopanga kufanya. Rise your internal standards.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume. Safari ya MAFANIKIO ya kweli ni UPWEKE. 1. Hakuna anaekuona. 2. Hakuna anaekusifia. 3. Hakuna uthibitisho. Ni wewe, kazi yako na maono yako. Keep grinding.

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Bro! Kua mbinafsi, Yes! Kua mbinafsi kwa miaka mi 3 tu, -Kua mbinafsi na muda wako, -Kua mbinafsi na kipato chako, -Kua mbinafsi na maisha yako, -Kua mbinafsi kwenye afya yako, Fanya kazi kwa bidii, Tafuta pesa zingi sana. Unajua kwa nini? Maisha yako ni wajibu wako.

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Kama unataka mafanikio — kubali maumivu. Kama unataka heshima — jifunze kuvumilia. Kama unataka matokeo — achana na visingizio. Kama unataka kutoboa — kubali mwanzo mgumu. Kama unataka kufika mbali — mtegemee Mungu. 🙏🏼 Good Morning.

Brave man (@thomas_yona_) 's Twitter Profile Photo

Maisha yako yote hakikisha haukosi watu hawa Wanaokoa sana 1. Mwanasheria 2. Daktari 3. Polisi 4. Mwanajeshi 5. Mtu wa IT 6. Dalali 7. Misheni town 8. Mchungaji/shekh 9. Mtu anaye wajua watu (connection) 10. Michepuko