
Ghost
@ghost_pizoo
Economist
ID: 1478086328780824581
03-01-2022 19:30:34
2,2K Tweet
3,3K Takipรงi
5,5K Takip Edilen


Dr. Hamisi Kigwangalla Masoud Kipanya Kama DUNIA nzima ni jangwa. Basi bara la AFRIKA ndiyo OASIS ya jangwa hilo. Oasis ni sehemu ya jangwa inayopatikana maji. Picha hapo chini inaweza kukuonesha hilo. Twende katika picha ya Masoud Kipanya sasa... Kipanya kaitambulisha AFRIKA katika taswira ya OASIS akimaanisha












Magogoni Daily Huyu hapa kiongozi bora wa muda wote, alikuwa kiongozi mtendaji na mzalendo wa kweli, aliwajali sana wananchi wake kwa kila kitu alitanguliza maslahi ya nchi na wananchi wake, alikuwa mwenye maono, mipango mizuri na misimamo dhabiti, daima tutamkumbuka.
