Emmanuel Galele (@galeleemmanuel) 's Twitter Profile
Emmanuel Galele

@galeleemmanuel

Prince of peace

ID: 1448836882985521152

calendar_today15-10-2021 02:24:07

722 Tweet

82 Followers

225 Following

afl_africa (@afl_africa) 's Twitter Profile Photo

"Simba will give the maximum in the game" πŸŽ™ Simba Sports Club coach trusts his team before Al Ahly match in the #AFL opening. πŸ”΄πŸ’ͺ #CAF | #FIFA

"Simba will give the maximum in the game" πŸŽ™

<a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a> coach trusts his team before Al Ahly match in the #AFL opening. πŸ”΄πŸ’ͺ

#CAF | #FIFA
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Tukio la kihistoria kwa ufunguzi wa mashindano mapya ya African Football League ndani ya ardhi ya Tanzania na Mnyama 🦁 tukiwa wenyeji. #AFL #WenyeNchi #NguvuMoja

NMB Bank Plc (@nmbtanzania) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuweka mkwanja kwenye akaunti zao, sisi tume-double ili wa-enjoy msimu huu wa sikukuu wakiwa na maokoto ya kutosha! Endelea kuweka, kuhamisha kutoka benki nyingine au mitandao ya simu kuja kwenye akaunti yako ya NMB ujiweke kwenye nafasi ya kushinda #WekaNaUshinde

Baada ya kuweka mkwanja kwenye akaunti zao, sisi tume-double ili wa-enjoy msimu huu wa sikukuu wakiwa na maokoto ya kutosha!

Endelea kuweka, kuhamisha kutoka benki nyingine au mitandao ya simu kuja kwenye akaunti yako ya NMB ujiweke kwenye nafasi ya kushinda

#WekaNaUshinde
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Simba SC tumetajwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa kwenye orodha ya klabu zinazowania kufuzu Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup 2025). #WenyeNchi #NguvuMoja

Simba SC tumetajwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa kwenye orodha ya klabu zinazowania kufuzu Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup 2025). #WenyeNchi #NguvuMoja
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Sisi CROWN MEDIA tunahimiza kila mmoja wetu kumlinda, kumtetea na kumtayarishia kesho njema kila mtoto kwa manufaa yake binafsi na taifa kwa ujumla. #ADayOfTheAfricanChild #CrownForKids #HapaNiNyumbani

Sisi CROWN MEDIA tunahimiza kila mmoja wetu kumlinda, kumtetea na kumtayarishia kesho njema kila mtoto kwa manufaa yake binafsi na taifa kwa ujumla.

#ADayOfTheAfricanChild #CrownForKids #HapaNiNyumbani
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ubaya Ubwela πŸ”₯ Yes! Huu hapa wimbo maalumu wa siku ya Simba kutoka kwa @officialabdukibaa Tunda Man na @tommyflavour πŸ”₯ Agosti 03 tunakutana uwanja wa Benjamin Mkapa kupata burudani ya aina yake, team nzima ya CROWN MEDIA itakuwepo kuhakikisha unapata burudani kabambe! Cc

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana mashabiki wote wa Simba Sports Club kwa kuifanya #SimbaDay2024 kuwa na mafanikio makubwa. #NguvuMoja✊🏽

Alikiba (@officialalikiba) 's Twitter Profile Photo

Back 2 Back 2 Back Stadium Status Perfomances I mean 3 shows Consecutivley infront of 60,000 + Fans in less than A Year and all this with one of the Biggest Club in Africa Simba Sports Club 🦁 !! #UbayaUbwela #SimbaDay2024

Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Hapa ndipo Kiba aliamua kutonesha Ubaya Ubwela wake baada ya kuimba Live, Halafu sikia Wana Simba wanavyoitakaaa aaaaaah hii siku tamuuuu sanaaaaa