Frank Manyaki Onjiko (@frankmanyakii) 's Twitter Profile
Frank Manyaki Onjiko

@frankmanyakii

God Believes
#TEAMMABADILIKO
#NoReformNoElection
@ChademaTz

ID: 1799423214319185920

calendar_today08-06-2024 12:48:37

2,2K Tweet

46 Followers

339 Following

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Wakati tunaendelea na updates za kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu Shahidi wa kificho siku ya leo P6 ni huyu hapa kwenye picha. Watu wa maeneo ya Songea mjini bila shaka mnamfahamu.

Wakati tunaendelea na updates za kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu 

Shahidi wa kificho siku ya leo P6 ni huyu hapa kwenye picha. 

Watu wa maeneo ya Songea mjini bila shaka mnamfahamu.
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu, ambapo kwa sasa jopo la majaji linalosikiliza shauri hilo limependekeza kupatikana kwa mapumziko mafupi. Baada ya mapumziko hayo,

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Tundu A.M Lissu hakuwa na shida na chakula mchana ule. Lakini kama ilivyo kawaida yake, ameumbwa katika kupigania haki za wengine, msingi wa maneno yake ulikuwa ni ulimwengu ufahamu kwamba mahabusu/wafungwa wakifikishwa Mahakamani kwa ajili ya kesi zao, wanatakiwa kushinda na

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Hakuna anayejituma kwa bidii bila kuchoka wala kukata tamaa zaidi ya Mwanaume ambaye amepitia kushindwa, maumivu, upweke au dharau na bado akakataa kuruhusu mambo hayo yaamue hatima ya maisha yake. Huyu mtu huwa amejengeka kwa namna ya pekee sana na huwa ni ngumu sana kumyumbisha

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Februari 17.2026 imesikiliza mapingamizi yaliyowekwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Katibu Mkuu na Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu kama "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026. Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi

Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu kama "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026.

Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Za ndani zinasema lengo lao ni kuiua CDM itoke kabisa kwenye medani za siasa!! Na pengine watengeneze chama kingine kikuu cha upinzani!! Wanaamini wataweza kwa sababu wanasema ilishawezekana kwa NCCR na hata baadae CUF!! Binafsi naamini CDM itapitia tu changamoto financially,

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽

Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imefuta (imeondoa) zuio (injunction) lililotolewa na Mahakama Kuu (Masjala ya Dar es Salaam) Juni 10, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga (ambaye ndiye aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo). Zuio lilikuwa linazuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imefuta (imeondoa) zuio (injunction) lililotolewa na Mahakama Kuu (Masjala ya Dar es Salaam) Juni 10, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga (ambaye ndiye aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo). 

Zuio lilikuwa linazuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😁😁💪🏽🔥 Anzeni Kanda Maalum Ni raha sana kutokubali ku compromise! Yaani maamuzi ya kwenu si ile ya kusikilizia na kupangiwa kama vyama vikaragosi vingine! Simameni hapohapo! #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu

😁😁💪🏽🔥
Anzeni Kanda Maalum 
Ni raha sana kutokubali ku compromise! Yaani maamuzi ya kwenu si ile ya kusikilizia na kupangiwa kama vyama vikaragosi vingine!
Simameni hapohapo! 
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu