Ulimwengu 🇹🇿 (@fizoo_2040) 's Twitter Profile
Ulimwengu 🇹🇿

@fizoo_2040

Daktari mwanafunzi💉🇹🇿🇹🇿

ID: 1797151095464026113

calendar_today02-06-2024 06:20:24

4,4K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Leo nilienda UDSM. Majengo mapya mengi lakini nyumba za walimu za zamani duh! Fleti niliyokaa miaka 30 iliyopita ilikuwa imechakaa tayari na inaonekana, angalau kwa nje kwamba haijaguswa tangu wakati ule. Chuo kinapata ada kibao, na vitegauchumi pia, kwa nini hawajali walimu?

Lucas Ngoto (@lucas_ngoto) 's Twitter Profile Photo

Mhe Bulaya anafanya kazi ya kuwapigia cm wanachadema na kuambia wahamie ccm Anawaaminisha kwamba yeye ndo mgombea jimbo la Bunda mjini ccm anawambia atahamia 27.6.2025 baada ya bunge kuvunjwa Nawambia wanachadema bulaya kwenda ccm anakwenda kwao alikotoka

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Jana nimekaaa na mchizi kaongea mno ila nilidaka mawili tu " ndoa zione hivi hivi mkuu Nina miezi mitatu mke hanipi unyumba Imani yangu Kuna mtu anapewa nje Huko ila sio kesi ngoja nilee watoto tu". Binafsi tukifikia huku Bora tuachane tu MAPENZI yakiisha hakuna Amani Tena🫡

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Leo jumamosi tarehe 21/6/2025 nimeshiriki Sabato yangu katika kanisa la SDA Kurasini.. kwaya kongwe ya Kurasini SDA imetimiza miaka 40 ya utume. Hii ni sehemu ya hotuba yangu niliyopanga kuitoa kanisani. HOTUBA: Haki na Wajibu wa Kanisa Kukemea Maovu ya Watawala Ndugu waumini

Leo jumamosi tarehe 21/6/2025 nimeshiriki Sabato yangu katika kanisa la SDA Kurasini.. kwaya kongwe ya Kurasini SDA imetimiza miaka 40 ya utume.

Hii ni sehemu ya hotuba yangu niliyopanga kuitoa kanisani.

HOTUBA: Haki na Wajibu wa Kanisa Kukemea Maovu ya Watawala

Ndugu waumini
Eng.Mapunda Jr (@engmapundajr) 's Twitter Profile Photo

Zamani Kidogo.,Kabla ya Azam na Turkish Drama,Hapo Mwanza ndani ya Studio za Star Tv Walitikisa Haswa na Tamthiliya za Kifilipino sio poa.Walikujaga na Kitu Inaitwa The Promise humo ndani Kuna Mkali Angelo na YnaMorata afu kuna Mzee mzima Eduardo Buenavista.Jamaa Walitubless mno.

Zamani Kidogo.,Kabla ya Azam na Turkish Drama,Hapo Mwanza ndani ya Studio za Star Tv Walitikisa Haswa na Tamthiliya za Kifilipino sio poa.Walikujaga na Kitu Inaitwa The Promise humo ndani Kuna Mkali Angelo na YnaMorata afu kuna Mzee mzima Eduardo Buenavista.Jamaa Walitubless mno.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kijana kwenye dunia ya sasa ukikutana na binti ambaye anasimama na wewe katika nyakati zako ngumu. Binti anayekuamini hata pale ambapo wewe unashindwa kujiamini. Binti anayejivunia kuhusu wewe, anayekuheshimu, anakujali na anakupenda. Usihangaike na muonekano wake, huyo ni mali.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Naomba kueleweshwa MATUMIZI mabaya ya mtandao ni yapi? Yani leo watu wanaojadili mambo ya nchi kwa uwezo mkubwa ndio watumiaji wa mtandao vibaya kuliko wanaojiuza huko tiktok? Kwamba salama ya serikali kwasasa ni watu waendelee kujiuza mitandaoni na kupost umbea kila wakati.

Naomba kueleweshwa MATUMIZI mabaya ya mtandao ni yapi?

Yani leo watu wanaojadili mambo ya nchi kwa uwezo mkubwa ndio watumiaji wa mtandao vibaya kuliko wanaojiuza huko tiktok?

Kwamba salama ya serikali kwasasa ni watu waendelee kujiuza mitandaoni na kupost umbea kila wakati.
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Huu sio utabiri, ni UHALISIA Ipo siku Watanzania mil 30+ watanyanyuka na kusema—It's TOO much, imetosha Kuna watawala moto utawawakia vibaya sn, wengi watakimbia exile. Watakaokaza fuvu watafurahishwa na KENGE wa ndani Wadau watagawana mali zao. Wewe utakimbilia mali za nani😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

MDUDE BADO YUPO HAI.🚨 Nimepokea taarifa za mdude kutoka Vyanzo viwili tofauti kwa week hii. Na vyote vinathibitisha MDUDE yupo hai. Hali yake ni mbaya sana na wamemuimiza sana. YUPO kwenye moja ya nyumba zao WATEKAJI hapa DAR. Hawajamuweka kwenye vituo vya polisi wanajua haya

MDUDE BADO YUPO HAI.🚨

Nimepokea taarifa za mdude kutoka Vyanzo viwili tofauti kwa week hii. Na vyote vinathibitisha MDUDE yupo hai.

Hali yake ni mbaya sana na wamemuimiza sana. YUPO kwenye moja ya nyumba zao WATEKAJI hapa DAR. Hawajamuweka kwenye vituo vya polisi wanajua haya
Mishalymish (@mishalymish) 's Twitter Profile Photo

Habari za Leo Kaka zangu na dada zangu,M/MUNGU Awatunze na Kuwabariki.Tangu nilipoanza challenge ya changizo nje ya Hapa mpaka Leo nimepata 3,100,800 Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA

Habari za Leo Kaka zangu na dada zangu,M/MUNGU Awatunze na Kuwabariki.Tangu nilipoanza challenge ya changizo nje ya Hapa mpaka Leo nimepata 3,100,800
Zinaitajika pesa Million 107,734,920/= sawa na (Dollar elfu 40 za kimarekani) 
NAWAOMBA/NAKUOMBA WEWE UWE SABABU YA MIMI KUSIMAMA
Martine Abdul Kandore (@martinabdul14) 's Twitter Profile Photo

Nikielezea umuhimu wa #NoReformsNoElection kama kijana msomi nilieamua kutumia elimu yangu kuchangia maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika taifa langu. Follow me🙏 support movement 💪 #Tutashinda

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATE Tumefanikiwa kupata mtu wa karibu na familia ya Viola katuhakikishia kwamba Viola yupo sehemu salama ila hapatikani kwenye simu kwasababu za kiusalama. Tumuombee Mungu azidi kumlinda yeye pamoja na watu wote ambao wanapigania Haki.🙏

#UPDATE 

Tumefanikiwa kupata mtu wa karibu na familia ya Viola katuhakikishia kwamba Viola yupo sehemu salama ila hapatikani kwenye simu kwasababu za kiusalama.

Tumuombee Mungu azidi kumlinda yeye pamoja na watu wote ambao wanapigania Haki.🙏