Malkiadi J. Fissoo (@fissoo_mj) 's Twitter Profile
Malkiadi J. Fissoo

@fissoo_mj

//HARD WORK PAYS//

ID: 812753851472343041

calendar_today24-12-2016 20:16:33

683 Tweet

68 Followers

387 Following

FRANCIS ❖91688❖ (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

Ukijifunza Kuhusu Binadamu Anavyo Operate, Utaelewa Kuhusu "VIBRATION" Yaani... "The Law Of Vibration" Utafahamu.. Namna Binadamu Tunavyo Ambukizana, • Hisia ( Emotion ) • Fikra (Thoughts ) • Magonjwa (Illness ) • Tabia ( Character ) ... ^Abracadabra^

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Mimi bado sikubali the notion that you can do it alone in life. Acha ujinga, unganisha nguvu na watu. Cha msingi mfanane vision.

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Wengi wanaogopa SAUTI YA RADI kuliko ya RADI yenyewe. By the way, ukiisikia SAUTI ya RADI ujue UMEPONA kufa kwa radi! #Code

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Biashara sio BAHATI NASIBU, Bali ni:- 1. UJUZI 2. MAARIFA 3. UTASHI 4. UJASIRI 5. HUDUMA 6. SIRI 7. BIDII 8. FURSA 9. AJIRA 10. NIDHAMU Nimejifunza katika Maisha yangu yote ktk biashara yapata Miaka 15+ usipokuwa na hayo mambo yote kwa ujumla bila kuacha hata moja, ndio kuna

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

#HekimaZaMzeeMwaihabi Mzee wangu amekuwa ni mtu wa kutoa misaada kwa ndugu zake tangu zamani kabla hajaoa. Utakuta nyumbani amelea wanandugu (watoto wa wadogo zake na ndugu zake). Ukija home ukakuta familia ya watu 12 sio ajabu. Na wote anawalipia Ada kwa wakati. Hiki kitu

#HekimaZaMzeeMwaihabi

Mzee wangu amekuwa ni mtu wa kutoa misaada kwa ndugu zake tangu zamani kabla hajaoa.

Utakuta nyumbani amelea wanandugu (watoto wa wadogo zake na ndugu zake). Ukija home ukakuta familia ya watu 12 sio ajabu. Na wote anawalipia Ada kwa wakati.

Hiki kitu
Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa najifunza kutoka familia za Kiyahudi. Mambo ya fedha, hasa kwenye generational wealth. Naendelea kujifunza kuna vitu naona wanafikiria tofauti kuhusu fedha. Urithi na kuendeleza mali. Kitu kizuri sana nilijifunza kwamba anayetoboa kwenye familia au ukoo ni wajibu wake

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume Hatari na Mwenye Nguvu Anatengenezwa Kwenye UPWEKE na Maumivu Kukataliwa, Kusalitiwa na Kutengwa ni Gharama ya Kuwa Mwanaume Imara, Hatari na Mwenye Nguvu Ukiona Imefika Hatua Umekuwa Comfortable Kuwa Peke yako—Basi Ushakuwa Mtu HATARI Hatari Mno

Rich Dad Poor Dad Bot 💰 | by Robert Kiyoski ✍️ (@richdadpoorrdad) 's Twitter Profile Photo

Financial intelligence is a synergy of accounting, investing, marketing, and law. Combine those four technical skills and making money with money is easier than most people would believe.

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

1. Bikira sio kigezo pekee cha kufanya mwanamke awe mke bora. 2. Mimba sio kigezo pekee kwamba mwanamke unafaa kumuoa. 3. Upambanaji wa mwanamke sio kigezo pekee kwamba anafaa kuwa mke. Mke ni anapimwa kwa metrics nyingi sana ila kubwa zaidi ni. 1. Kujua thamani yake na ya

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

RITUAL YA KUFUNGUA FINANCIAL BLOCKS. Pesa haizuiwi nje tu, mara nyingi huzuiwa na hali ya ndani (beliefs, hofu, tabia). Hii ritual inalenga ku-align hayo yote. Chumvi ya mawe haiwezi kukufanya uwe na nidhamu ya pesa kama mwenyewe hujaamua kuwa nayo. Hali ya ndani. A THREAD 🧵

48 Laws of Power by Robert Greene (@48lawsofpowerr) 's Twitter Profile Photo

People will respect and honor you more if you’re not always around. They’ll start to miss you, and your absence will make them appreciate you more.

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

→Usinunue kwa hisia (FOMO). → Usiuze kwa panic. → Kuwa na strategy. → Jifunze kuhusu elimu ya hisa. →Usiwekeze katika usichokijua. → Think long term. Play long term. Asante Mesha kwa Uzi huu.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Ili uwe mume bora na uweze kuheshimika na mwanamke utakae muoa. Ni lazima UMZIDI 1. Umzidi Hela. 2. Umzidi Maarifa. 3. Umzidi Miaka. 4. Umzidi Maono. Kwa lugha rahisi mzidi kila kitu hadi dhambi. It’s nature.

FRANCIS ❖91688❖ (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

( Watoto Wameshalala ) Usizidishe Chochote. Chochote Unachozidisha, Unauwa Balance... • Ukipenda sana, unauwa balance • Ukifanya kazi sana, unauwa balance • Ukifanya mazoezi sana, unauwa balance • Ukijitoa sana, unauwa balance • Ukiwa mwema sana, utadharaulika •