
Ester Thomas
@ester_thomas1
Deputy Secretary General-Tanzania Mainland @ACTWazalendo. Researcher/Founder of @F.I.S.H organization and @www.jrsconsult.co.tz
ID: 1458138908722597889
09-11-2021 18:26:35
2,2K Tweet
2,2K Followers
506 Following


Tunavyosema ACT Wazalendo ndio chama pekee cha upinzani Tanzania chenye Taswira ya Kitaifa yani kunakubalika Zanzibar na Tanganyika. Haya ni Mapokezi Mazito ya Wagombea wetu wa Urais Zanzibar, Othman Masoud Othman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Luhaga Mpina. Oktoba #LindaKura


Inatokea sasa hivi, yaani NOW! Mapokezi ya Mgombea Urais Zanzibar Othman Masoud Othman akisindikizwa na Mgombea Urais Muungano Ndg. Luhaga Mpina na Mgombea Mwenza Bi Fatma Ferej kisiwani Unguja



Uzi Picha na Matukio ya Mapokezi ya Mgombea Urais wa Tanzania, Urais wa Zanzibar na Mgombea Mwenza. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


KC Dorothy Semu akiwa na mgombea Urais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud Othman. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Dorothy Semu Othman Masoud Othman Wajumbe wa Kamati Kuu Mhonga Ruhwanya shangwe Ayo na Bonfasia Mapunda.


Ado Shaibu Ndugu Luhaga Mpina. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi





"Salamu hizi nazipeleka kwa Rais Samia Suluhu, Wazanzibar waliuawa mwaka 2020 kwa sababu ya CCM kuleta kura ya siku mbili. Ondoeni hili jambo. Kwani mfumo huu ni mfumo wa kuua watu." KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi





