Enzo (@enzomaestro10) 's Twitter Profile
Enzo

@enzomaestro10

||Stoicism|| ||football Fanatic||

ID: 1588979415874166787

calendar_today05-11-2022 19:40:07

8,8K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Kama rafiki yako anauza kitu, Usiombe kupunguziwa, lipa kama anavyouza Unanunua kama kilivyo sio kama unajiweza , Unanunua kama kilivyo kusapoti maono yao.

Mfalme👑🇹🇿 (@ommyfitness) 's Twitter Profile Photo

Kama umezaliwa mwanaume kubali; 1. Sio kila unayempenda atakupenda pia 2. Sio kila unachokitaka utakipata 3. Sio kila unayemuhitaji atakuhitaji Matumizi ya akili yawe mengi kuliko hisia, Hii itakusaidia kutopoteza muda.