Chama Cha mapinduzi nichama ambacho kipo vizuri, Mama Samia endelea kukiongoza chama chama Cha mapinduzi Usijali wanao kuchafua hao niwapiga miruzi
Mwaka 2025 kwako zimejaa na kwawabunge pia zitajaa.
Mungu akutangulie Mama Samia .
Mh makonda kwa kaz unayoifanya iko sahihi kuna watu wanafanya kaz kwa mazoea ningetaman ungekua huku kwetu kwa sababu mama amekuteua hajakosea kuna wilaya zingine zinachangamoto sana. Mama samia hongera kwa uteuzi wako.