Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile
Eng. Abbas Maluka

@engmaluka

Civil Engineer.
Entrepreneur.
Chelsea FC fan.
I like Politics, CCM๐Ÿ’š.
I am the Champion in ๐ŸŽฎ.

ID: 1170153240

linkhttp://www.abragroup.co.tz calendar_today11-02-2013 22:10:43

833 Tweet

201 Followers

961 Following

Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza ndugu richard mgamba TBC ARIDHIO leo, akiongelea juu ya ongezeko la Tsh 50 katika mafuta hapa inchi lililowekwa katika bajeti iliyoanza July 2021, ameeleza safi sana na nimefarijika kumsikia na hasa alivyoeleza kwa umahili masuala ya kiuchumi. Hongera TBC DIGITAL

Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hiyari yangu katika chanjo ya COVID-19 nitaitumia kwa kuchanjwa. Naamini Mungu ndo mlinzi wa afya yangu lakini amenitaka niweke juhudi katika maombi yangu ya kila jambo hivyo kuchanjwa kwangu ni juhudi ya kumuomba aninusuru na ugonjwa huu. Naungana na Raisi wangu๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™

Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

World Photography Day #๐Ÿ“ธbyme Wakali wa picha za simu @kikwete @malukakhamis @mustafashujaa Samclinton Obed __.monalisa instagram.com/p/CSxDbzXjXS8/โ€ฆ

Uber Chelsea FC (@uberchelseafc_) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜ Thanks to Three UK, I am giving away a Chelsea 2021/22 away shirt! All you have to do is... 1) RETWEET this tweet 2) LIKE this tweet 3) FOLLOW @UberCheIseaFC and Three UK Competition ends Friday 10th September! ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ˜ Thanks to Three UK, I am giving away a Chelsea 2021/22 away shirt!

All you have to do is...

1) RETWEET this tweet
2) LIKE this tweet
3) FOLLOW @UberCheIseaFC and Three UK

Competition ends Friday 10th September! ๐Ÿ”ฅ
Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana mwana msimbazi mwenzangu kaka wa Taifa na mtu mwenye hekima na busara nyingi sana Mhe January Makamba kwa uteuzi. Kwahakika naimani sasa umeme kila kitongoji linaenda kutimia. instagram.com/p/CTu8pHGLuR7/โ€ฆ

Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

Namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi kinasimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020 ni dhahili kuwa serikali inaenda kufanya makubwa Sana katika kuletaji maendeleo nchini. CCM imara, Serikali imara ๐Ÿ™ Chama Cha Mapinduzi Samia Suluhu Dr Hussein Ali Mwinyi @DanielGChongolo Shaka Hamdu Shaka

Namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi kinasimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020 ni dhahili kuwa serikali inaenda kufanya makubwa Sana katika kuletaji maendeleo nchini. CCM imara, Serikali imara ๐Ÿ™
Chama Cha Mapinduzi
Samia Suluhu
Dr Hussein Ali Mwinyi
@DanielGChongolo
Shaka Hamdu Shaka
Eng. Abbas Maluka (@engmaluka) 's Twitter Profile Photo

03/11/2021|Udzungwa waterfalls|800m high from sea level|500m high from Sanje Village|With my Dota, Now Mama Djร  @ Uduzugwa National Park. MANG'ULA Morogoro instagram.com/p/Cnq9ojqLS-q/โ€ฆ

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu mwingi wa rehema kwa siku hii kubwa na muhimu kwangu, kwa Watanzania na kwa Taifa letu, ambapo nimeapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante kwa Watanzania wote kwa imani kubwa kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ridhaa

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu mwingi wa rehema kwa siku hii kubwa na muhimu kwangu, kwa Watanzania na kwa Taifa letu, ambapo nimeapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante kwa Watanzania wote kwa imani kubwa kwangu na kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ridhaa
Pamphlets.Blog (@pamphletsy) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ช BREAKING โ€” Even Members of the Venezuelan Opposition Are Now Demanding Maduroยดs Release.

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Breaks Ground on $274 Million Fuel Storage Expansion at Dar es Salaam Port energycapitalpower.com/tanzania-breakโ€ฆ