Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile
Pugu_media

@yetupugu

Pugu station yetu kwa habari mbali karibu katika ukurasa wetu wa Pugu Station Yetu

ID: 1084412008940879872

calendar_today13-01-2019 11:29:05

5,5K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

🚨Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha redio kuanzia saa 2 Asubuhi kupitia MAIN FM 91.7📍Kigoma 📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana 🗓️ 21/5/2025, Jumatano 🕗 2:00 Asubuhi #tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma

🚨Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha redio kuanzia saa 2 Asubuhi kupitia MAIN FM 91.7📍Kigoma
📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana
🗓️ 21/5/2025, Jumatano
🕗 2:00 Asubuhi
#tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

🚨Usikose kufuatilia kipindi cha SHIKAMANA kuanzia saa 11 Jioni kupitia MAISHA FM 101.1 📍Dodoma 📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana 🗓️ 21/5/2025, Jumatano 🕗 11:00 Jioni #tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma

🚨Usikose kufuatilia kipindi cha SHIKAMANA kuanzia saa 11 Jioni kupitia MAISHA FM 101.1 📍Dodoma
📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana
🗓️ 21/5/2025, Jumatano
🕗 11:00 Jioni
#tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

🚨Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha redio kuanzia saa 5 Asubuhi kupitia SHAKINA FM 98.5 FM 📍 Kigoma 📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana 🗓️ 21/5/2025, Jumatano 🕗 5:00 Asubuhi #tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma

🚨Usikose kufuatilia kipindi maalumu cha redio kuanzia saa 5 Asubuhi kupitia SHAKINA FM 98.5 FM
📍 Kigoma
📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana
🗓️ 21/5/2025, Jumatano
🕗 5:00 Asubuhi
#tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu akiteta jambo na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe Jerry Silaa katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza la Umoja wa Vijana Kata ya Zingiziwa.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana Kata ya Zingiziwa katika ufunguzi wa Baraza hilo Mgeni Rasmi alikuwa Mhe Jerry Silaa Mbunge wa Jimbo la Ukonga na Waziri wa Mawasiliano.

"Niwapongeze sana UVCCM Kata ya Zingiziwa kwa maandalizi mazuri kuelekea uchaguzi Mkuu, Tuendelee kujipanga kuhakikisha Dkt Samia Suluhu Hassan anaongoza kwa kura nyingi hapa Zingiziwa na kura nyingi katika Wilaya yetu ya Ilala" Juma Mizungu Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala

"Niwapongeze sana UVCCM Kata ya Zingiziwa kwa maandalizi mazuri kuelekea uchaguzi Mkuu, Tuendelee kujipanga kuhakikisha Dkt Samia Suluhu Hassan anaongoza kwa kura nyingi hapa Zingiziwa na kura nyingi katika Wilaya yetu ya Ilala"
Juma Mizungu 
Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

"Wilaya yetu ya Ilala ilikuwa na Majimbo Matatu ya Uchaguzi tunashukuru Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kutuongezea Jimbo la nne sisi kama Vijana wa CCM Ilala tutahakikisha Chama chetu kina shinda Majimbo yote mnne na Kata zote 36" Juma Mizungu Mwenyekiti Uvccm Ilala

"Wilaya yetu ya Ilala ilikuwa na Majimbo Matatu ya Uchaguzi tunashukuru Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kutuongezea Jimbo la nne sisi kama Vijana wa CCM Ilala tutahakikisha Chama chetu kina shinda Majimbo yote mnne na Kata zote 36"
Juma Mizungu 
Mwenyekiti Uvccm Ilala
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

🚨Usikose kufuatilia kipindi cha MICHARAZO kuanzia saa 11 jioni, kupitia DODOMA FM 98.4 📍 Dodoma 📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana 🗓️ 26/5/2025, Jumatatu 🕗 11:00 Jioni #tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma

🚨Usikose kufuatilia kipindi cha MICHARAZO kuanzia saa 11 jioni, kupitia DODOMA FM 98.4 
📍 Dodoma
📌Mada: SITAPELIKI & Ni Rahisi Sana
🗓️ 26/5/2025, Jumatatu
🕗 11:00 Jioni
#tcratz #nirahisisana #sitapeliki #klabuzakidijiti #digitalclubs #elimukwaumma
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

"Nimpongeze sana Mhe Kumbilamoto amekuwa Diwani wa kwanza kutekeleza maelekezo ya CCM Wilaya kuhakikisha analipa Bima Pikipiki za CCM katika Kata yake ya Vingunguti" Juma Mizungu Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala

"Nimpongeze sana Mhe Kumbilamoto amekuwa Diwani wa kwanza kutekeleza maelekezo ya CCM Wilaya kuhakikisha analipa Bima Pikipiki za CCM katika Kata yake ya Vingunguti"
Juma Mizungu 
Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu akizungumza na Viongozi wa Jumuiya za CCM Kata ya Vingunguti katika halfa ya kukabidhi bima za pikipiki za CCM, Bima hizo zimelipwa na Meya wa Jiji Dsm Mhe Kumbilamoto akitekeleza maelekezo ya CCM Wilaya Ilala.

"Tunawashukuru sana Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu kwa kuhakikisha watendaji ngazi za Kata wanapata usafiri wa pikipiki kuanzia Chama na Jumuiya zake" Juma Mizungu Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala

"Tunawashukuru sana Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kwa kuhakikisha watendaji ngazi za Kata wanapata usafiri wa pikipiki kuanzia Chama na Jumuiya zake"
Juma Mizungu 
Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala
Pugu_media (@yetupugu) 's Twitter Profile Photo

Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Kumbilamoto (kulia) akimuelezea Mwenyekiti Uvccm Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu (kushoto) mradi Mkubwa wa Maduka ya Nyama Choma ya KUMBILAMOTO yalijengwa Vingunguti, Maduka hayo tayari yamezinduliwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe Mchengerwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 27 June, 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Abuja nchini Nigeria.

📌Kuwa sehemu ya kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya mtandao. Kumbuka; Usalama Mtandaoni unaanza na mtu binafsi (wewe 🫵) #futadeletekabisa🚮 #elimukwaumma #sitapeliki #mtandaonifursabakisalama #nirahisisanakuwasalamamtandaoni #tcratz

📌Kuwa sehemu ya kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya mtandao. Kumbuka; Usalama Mtandaoni unaanza na mtu binafsi (wewe 🫵) #futadeletekabisa🚮
#elimukwaumma #sitapeliki #mtandaonifursabakisalama #nirahisisanakuwasalamamtandaoni #tcratz

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu pamoja na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ilala Bi Neema Kiusa wakiosha Vyombo kwa Kijana Ujasiriamali Ukonga katika zoezi la kuomba kura za Chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi Mkuu.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu ameshiriki katika Ufunguzi wa Kampeni za Udiwani katika Kata ya Chanika,Ndg Juma Mizungu alipata fursa ya kuwaombea kura Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi akiwepo Dkt Samia Suluhu

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ndugu Juma Mizungu ameshiriki katika Ufunguzi wa Kampeni za Udiwani katika Kata ya Chanika,Ndg Juma Mizungu alipata fursa ya kuwaombea kura Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi akiwepo Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>