Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile
Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)

@yahayaomary

Founder of WAKA (Wananchi & Katiba) |
Advocate - Zanzibar | Advocate - Tanganyika |
CEO Dar HR Consultants |
Human Rights Activist |
Mgombea Ubunge Temeke 2020

ID: 2227439237

linkhttp://www.darhr.co.tz calendar_today15-12-2013 18:24:42

20,20K Tweet

2,2K Followers

49 Following

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Kama kweli uislam ungekua ni dini ya waarabu, na Allah ni Mungu wa waarabu, basi Senegal waislam weusi wasingeshinda Kombe maana wote walikua wanamuomba huyo huyo Allah, lkn akaikubali dua ya weusi na akaikataa ya waarabu. Umekua ushuhuda mzuri sana. Alhamdulillah!

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Hapa kuna ya kujifunza nyie ACTWazalendo na CUF mnaweza kujifunza mkitaka. Hawa wenzenu kuna muda wanaweka pembeni tofauti zao wakashirikiana na wanalionesha taifa kua wako sawa. Nyie sasa, mitusi na kususiana kama kote! Wake up! Kueni na common goal acheni visasi vya kitoto.

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

I started questioning the name "HIGH COURT OF TANZANIA", Does Tanzania has the High Court? The improper use of the word Tanzania is what has resulted into all these lacunas. Its time for the High Court of so called Tanzania to start using the proper name High Court of Tanganyika

Furaha Nzunda (@furaha_nzunda) 's Twitter Profile Photo

Asante kaka Sammy Awami wauaji wako serikalini kwenye idara zao wanakula kodi zetu na bado wanataka maridhiano, hasira zinaongezeka mikiwaza hilo.

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

"Amani ni zao la haki na demokrasia. Bila demokrasia hakuna haki; bila haki hakuna amani, na bila amani hakuna maendeleo. Hiyo ndiyo kanuni." Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mwanasiasa Mkongwe Anna Tibaijuka Akizungumza na Salim Kikeke kwenye #KikaoNaKikeke anaeleza kuwa, ni ngumu kulileta Pamoja Taifa wakati Kiongozi wa Upinzani akiwa Gerezani. Mahojiano yanapatikana YouTube ya CROWNMEDIA;

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Hili lilikua wazi na ilikua lazima litokee. Huwezi kuvamia vamia tu kihuni utarajie utatenda haki. Haki ina taratibu zake na wala hua haina pupa.

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Huyo mungu wa Mwamposa mvunja katiba pia ni mungu wa njaa, na ni mungu mwenye roho kama binaadam. Afahamu tu mwamposa, hatupokei utapeli mwepesi usiotumia akili.

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba) (@yahayaomary) 's Twitter Profile Photo

Kama ilishindikana kuundwa tume huru kuchunguza october 29, mnatarajia kweli iundwe kuchunguza kifo cha Banjoo? Lets be real and understand where we are and think of alternatives!