Tree of Hope.Tz
@treeofhope_tz
TREE OF HOPE, formerly the Tanga Deanery HIV & AIDS Control Project 2004, is a Non Governmental Organization Registered on May 2010.reg_no:3856
ID: 1910759144
http://www.treeofhope.or.tz 27-09-2013 10:31:29
46 Tweet
83 Followers
606 Following
#Dr.Avemarie: Tunataka #KatibaMpya yenye sura ya Utanzania. #WanawakeNaKatiba Women Fund Tanzania Trust Sauti Ya Mwanamke
#Dr.Avemaria: Kupiga kura unaanza miaka 18, kwanini wasichana waruhusiwe kuolewa kabla ya umri huo? #WanawakeNaKatiba Women Fund Tanzania Trust
"Haki za #Wanawake zibainishwe kwenye #KatibaMpya na Sheria kandamizi zibatilishwe" #WanawakeNaKatiba Women Fund Tanzania Trust
@SitiAbasiAli: Wanawake waunge mkono na kuwatia moyo wanawake wanapogombea nafasi za uongozi. #WanawakeNaKatiba Women Fund Tanzania Trust WanawakeliveTv
Ifikie hatua Tanzania itambue mchango wa mwanamke toka enzi za uhuru mpaka sasa.#wanawake Twaweza - ni sisi Women Fund Tanzania Trust
ProfMeena: #KatibaMpya isiache madai ya Wanawake ambao ni zaidi ya nusu ya watanzania.#WanawakeNaKatiba Women Fund Tanzania Trust
@UsuMallya. Watanzania wote tuwe na uchungu watoto wa kike wanaponyanyaswa. #WanawakeNaKatiba TGNP Women Fund Tanzania Trust WanawakeliveTv
Je watoto tunawakumbuka katika #katibampya.Suala la watoto kuajiriwa na kufanya kaz za nyumbani na kuteswa kama wanyama.Utekelezaji Katiba