TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile
TGNP

@mtandaotgnp

ID: 397230802

linkhttp://www.tgnp.org calendar_today24-10-2011 12:19:22

14 Tweet

67 Followers

63 Following

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Gender Networking Programme (TGNP) is fundamentally an activist organization, non partisan, non... fb.me/OT5R7lTI

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Nyerere na Jakaya Kikwete waliwahi kusema kwa nyakati tofuati kuwa katiba yetu ya sasa inamfanya Rais kuwa dikteta akitaka

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Rais anateua Tume ya kukusanya maoni, Rais anateua Bunge la Katiba nk. Tunataka kuona mchakato wa Katiba mpya unakuwa kwa wananchi zaidi

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Ushiriki wa wananchi ndio nguzo kuu na msingi wa uandikwaji wa Katiba nzuri, shirikishi na ya wananchi wote sio ya watawala

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Katiba Mpya itakayopatikana kwa mtindo huu wa ubabaishaji itaendelea kulalamikiwa na wananchi kama inavyolalamikiwa ile ya mwaka 1977

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Wasomi na wanaharakati wanawapotosha wananchi kusema mambo yasiyo ya kweli kuhusu mchakato wa uundaji wa Katiba. Mhe. Steaven Wassira

TGNP (@mtandaotgnp) 's Twitter Profile Photo

Bunge limekuwa kijiwe cha kutukanana, kudharauliana na kutunishiana misuli kwa kigezo cha usomi na vyeti.Tunakomeshaje hii hali?