tanganyikaone🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇿🇦🇿🇦 (@tanganyikaone) 's Twitter Profile
tanganyikaone🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇿🇦🇿🇦

@tanganyikaone

Perfect timing

ID: 1887604696099303424

calendar_today06-02-2025 20:50:18

5,5K Tweet

116 Followers

909 Following

Gilly Bonny Tv (@gillybonnytv) 's Twitter Profile Photo

Makamu mwenyekiti Wa Chama Cha Demokarasia na Maendeleo ( CHADEMA), John Heche amewauliza Wananchi Wa Chamanzi mkoani Dar Es Salaam ameshangazwa na mladi Wa mabasi yaendayeo haraka maalum kama Mwendokasi namna ambavyo biashara ya maradi huo Inakufa ilhali abiria wapo na magari

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Kama kweli Upinzani hawana Mvuto, hawana watu Vyombo vya Dola viache kutoa Back Up kwa Chama kimoja. Tuache waende haki kwa haki sheria kwa sheria. Alafu tupime mzani.

Kama kweli Upinzani hawana Mvuto, hawana watu Vyombo vya Dola viache kutoa Back Up kwa Chama kimoja. Tuache waende haki kwa haki sheria kwa sheria.

Alafu tupime mzani.
MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

"HATUKUBALIANI NA MAMBO YANAYOENDELEA TANZANIA. Sisi Wote Ni Ndugu. Ni Muhimu Kujua Kitu Kinachofanyika Katika Taifa Jirani Kwa Sababu Moto Kwa Nyumba Ya Jirani Usipochunga Utaingia Kwako": Edwin Sifuna, Seneta Nairobi Kenya Edwin Sifuna LIVE: youtube.com/live/ABQ8xchy_…

Vladimir Putin News (@vladimirputiniu) 's Twitter Profile Photo

Kiev is fighting for billions of dollars not for interests of Ukrainians ,they stole from Ukrainian People and Smuggled to other countries . President Putin.

Kiev is fighting for billions of dollars not for interests of Ukrainians ,they stole from Ukrainian People and Smuggled to other countries .

President Putin.
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu akiwa na Kiongozi wa chama cha People's Liberation Party (PLP) cha nchini Kenya, Mheshimiwa Martha Karua SC. Wamekutana leo Aprili 24, 2025 Dar es Salaam baada ya kuhudhuria kesi ya uhaini inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu. #OperesheniLindaDemokrasia

Kiongozi wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a>, Ndugu <a href="/SemuDorothy/">Dorothy Semu</a> akiwa na Kiongozi wa chama cha <a href="/PLPartyKenya/">People's Liberation Party (PLP)</a> cha nchini Kenya, Mheshimiwa <a href="/MarthaKarua/">Martha Karua SC</a>. Wamekutana leo Aprili 24, 2025 Dar es Salaam baada ya kuhudhuria kesi ya uhaini inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu.

#OperesheniLindaDemokrasia
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo nimekumbuka matusi yote niliyowahi kusikia maishani kwa hasira! Nashukuru nimejikaza sijazishusha! Niliamua nitumie taaluma yangu and with success! Eniwei, simu zimekuwa moto - hadi Mama yenu kaanza kusema eti we Suleiman Mombo ndo umeendesha hii operesheni bila ye kujua 🤣

Leo nimekumbuka matusi yote niliyowahi kusikia maishani kwa hasira! Nashukuru nimejikaza sijazishusha! 
Niliamua nitumie taaluma yangu and with success! 
Eniwei, simu zimekuwa moto - hadi Mama yenu kaanza kusema eti we Suleiman Mombo ndo umeendesha hii operesheni bila ye kujua 🤣
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tishio la uhai wa Heche alianza kufanya huyu mhuni akisema anaweza kumuua, Ina maana toka Juzi Polisi walikuwa na oda ya kumuua Heche Isingewezekana police mwenye cheo kama huyu akakurupuka tu kusema kwamba anaweza kumuua mwanasiasa kisha siku kadhaa mbele akapotea Kweli

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tulimkosea sana huyu jamaa kwa kutojitokeza kwa idadi kubwa kwenye mazishi yake Huyu jamaa aliikuwa ni wale walioteshwa sana mwanzo mwanzo na polisi

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mauaji ya raia ni la mwisho serikali kufanya. Na mauaji, kupotezwa na mateso ni systemic.. targeting a certain group, with the view to extinguishing their identity. We have a potential ICC candidate. Endeleeni. Tusilaumiane.

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Wewe ku** kibuyu wewe. After all you have done, unatoa wapi nguvu ya kunitafuta tuongee??? After wewe na wapuuzi wenzio wa Njaa55 kuanzisha issue ya kwamba Lissu anafanya uhaini mpaka CCM wakambambikia kesi leo unanifata tuongeee? After the damage mmefanya we na wapumbavu wenzio

Wewe ku** kibuyu wewe. After all you have done, unatoa wapi nguvu ya kunitafuta tuongee??? After wewe na wapuuzi wenzio wa Njaa55 kuanzisha issue ya kwamba Lissu anafanya uhaini mpaka  CCM wakambambikia kesi leo unanifata tuongeee? After the damage mmefanya we na wapumbavu wenzio
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa nimetoka. Asanteni wote kwa sauti zenu. Katika wakati muafaka nitaeleza nini kilijiri toka nilipochukuliwa asubuhi mpaka nilipoachiwa usiku. Kwa sasa naomba tuelekeze nguvu kuhakikisha ambao wamebaki nao wanatoka salama. Kwa namna ya pekee nalitaka