Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile
Taifa Forum

@taifaforum

Independent News Media

|| Soma Gazeti la Taifa Huru kila siku

ID: 1137013113184763904

linkhttp://www.taifaforum.tz calendar_today07-06-2019 15:07:05

85,85K Tweet

85,85K Followers

0 Following

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamanda wake Muliro Jumanne, limesema limemkamata Mtu mmoja kwa tuhuma za kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania Padri Charles Kitima jana. Taarifa ya Polisi imeeleza kuwa jana tarehe 30 April 2025 saa nne

Sheikh Aomba Dua ya Miaka Mitano Zaidi kwa Rais Samia Katika Sherehe za Mei Mosi Katika kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika kitaifa leo tarehe 1 Mei 2025 mkoani Singida, Sheikh aliyealikwa kwa ajili ya kusoma dua ya ufunguzi alitumia

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ATOA WITO WA KULINDA AMANI, AONYA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUTOCHOCHEA MACHAFUKO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi kuhakikisha wanadumisha amani na utulivu nchini, akisisitiza kuwa

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI KUSHUGHULIKIA MAKATO YANAYOKATWA KWENYE POSHO NA MOTISHA ZA WATUMISHI WA UMMA Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali yake itakaa ma Taasisi husika ili kushughulikia maombi yaliyowasilishwa kwake na Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi nchini, walioomba kufutwa

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA ATANGAZA ONGEZEKO LA MSHAHARA KWA ASILIMIA 35.1%, MPANGO SEKTA BINAFSI WAJA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei Mosi, 2025 wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani, yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Singida, ametangaza

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

Sekta ya Utangazaji Ni Nguzo Muhimu ya Maendeleo – Dkt. Jabiri Bakari Dar es Salaam, Tanzania – Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari, amesisitiza kuwa sekta ya utangazaji ni muhimili muhimu katika kuendeleza jamii kwa nyanja zote;

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo amesema uhusiano imara wa kidiplomasia na kihistoria kati ya Tanzania na Msumbiji hauakisi ushirikiano na uhusiano wa kiuchumi uliopo kati ya mataifa hayo.

"Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote, nirejee tena pongezi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Chapo kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Msumbiji. Kwa hakika ushindi wake umepokelewa vizuri na Watanzania." - Rais Samia Suluhu na Rais wa Msumbiji wakizungumza na waandishi wa

Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré Apokelewa Rasmi na Rais Vladimir Putin na Kushiriki Sherehe za Siku ya Ushindi Moscow MOSCOW, Mei 9. Rais wa mpito wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amepokelewa rasmi na mwenyeji wake, Rais wa Urusi Vladimir Putin, alipowasili jijini

Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeelezwa kutengua uteuzi wa viongozi wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho mnamo Januari 22, 2025, kutokana na kutokuwepo kwa akidi halali ya kikao hicho. Kwa mujibu wa taarifa ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Finland ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.

Tanzania na Finland zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kuimarisha ushirikiano wao kwenye Elimu ya kidigitali pamoja na ukuzaji wa vituo atamizi (Incubation Hubs) kwaajili ya kampuni changa zilizopo nchini Tanzania. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo ya Marais

Tanzania na Finland zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kuimarisha ushirikiano wao kwenye Elimu ya kidigitali pamoja na ukuzaji wa vituo atamizi (Incubation Hubs) kwaajili ya kampuni changa  zilizopo nchini Tanzania.

Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo ya Marais

RAIS SAMIA AWAKARIBISHA DIASPORA NA RAIA WA KIGENI KUWEKEZA NCHINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha Watanzania wanaoishi Nje ya nchi maarufu kama Diaspora pamoja na Raia wa Kigeni na Sekta zao binafsi kuja kuwekeza nchini Tanzania,

RAIS SAMIA AWAKARIBISHA DIASPORA  NA RAIA WA KIGENI KUWEKEZA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha Watanzania wanaoishi Nje ya nchi maarufu kama Diaspora pamoja na Raia wa Kigeni na Sekta zao binafsi kuja kuwekeza nchini Tanzania,
Taifa Forum (@taifaforum) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mambo ya Nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa Wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2025.