stbongotv
@stbongotv
Exclusive on StarTimes Decoder
Ch: DTH (Dish)- 401 & DTT (Antena)- 161
#NowLive ….🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬
ID: 1479003023057817604
https://youtube.com/@STBONGOTV 06-01-2022 08:13:33
550 Tweet
110 Followers
16 Following
Rapa wa Marekani RICH HOMIE BABY! ) ameripotiwa kuwa amefariki dunia huku kwa mujibu wa chanzo ambacho hakijathibitishwa rasmi kikidai kuwa ni baada ya kuzidisha dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake Atlanta. #STBongoUPDATES #RipRichHomieQuan🙏🏾
Majibu ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Gwamaka Mwakalinga kuhusu namna walivyojipanga kuufunga mwaka 2024. #TheSpirit ipo hewani muda huu kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV
"Mara nyingi mimi nikiimba nyimbo nimekuwa nikiimba nyimbo kutokana na namna Mungu ananipitisha kwenye maisha yangu" Obby Alpha #TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
Obby Alpha anaeeleza safari yake ya kwanza kwenda kufanya event baada ya wimbo wake wa 'Bora Kushukuru' kutoka na kufanya vizuri. #TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo Septemba 17 2024. Cc; Samia Suluhu ikulu_Tanzania #STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza
Usikose kutazama #TheSpirit Jumapili saa 3:00 asubuhi kupitia stbongotv ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania pekee CH 161 kwa Antenna na CH 401 kwa wenye DISH na Caloriny Francis mpaka saa 5 kamili asubuhi. #TheSpiritSTBongo
Jumapili hii #TheSpirit imepata baraka kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bedaandrew ambaye kuna mengi ameyazungumza ambayo hupaswi kuyakosa. #TheSpirit ni jumapili saa 3:00 asubuhi ndani ya #STBongoTV kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish) m