Fadhili Skipper (@skipperfadhili) 's Twitter Profile
Fadhili Skipper

@skipperfadhili

ID: 1831414409266110465

calendar_today04-09-2024 19:30:26

1,1K Tweet

323 Followers

2,2K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Peter Madeleka (MWIJAKU WA SHERIA) alidisco Chuo Kikuu Mzumbe akaimbilia polisi, baadaye akaanza kusoma tena evening class Chuo Kikuu Tumaini Dar. Kapata Uwakili na 'umaarufu' uzeeni ndio maana amekuwa limbukeni hatunzi hata siri za wateja wake.

Peter Madeleka (MWIJAKU WA SHERIA) alidisco Chuo Kikuu Mzumbe akaimbilia polisi, baadaye akaanza kusoma tena evening class Chuo Kikuu Tumaini Dar. 

Kapata Uwakili na 'umaarufu' uzeeni ndio maana amekuwa limbukeni hatunzi hata siri za wateja wake.
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

"Kwanza Haji Manara mimi haniwezi, hatoweza nimudu si unaona nilivyo!!??, yule Haji Manara akinipata hapa hawezi kubanduka kwa vitu nitakavyompa, ataniganda mpaka nitakapotaka mimi."- Kidoa

"Kwanza Haji Manara mimi haniwezi, hatoweza nimudu si unaona nilivyo!!??, yule Haji Manara akinipata hapa hawezi kubanduka kwa vitu nitakavyompa, ataniganda mpaka nitakapotaka mimi."- Kidoa
The Kenyan Vigilante (@kenyansays) 's Twitter Profile Photo

“Mimi siwezi kuwakashifu au kuwazungumzia Wakenya vibaya, wamenilea kimziki na kunisupport sana. Utofauti wao na Mama Samia sijajua nini chanzo. Lakini niwaambie tu ukweli kwamba Kenya wamepiga hatua kubwa kimaendeleo na kidemokrasia wanajielewa sana,” - Alikiba

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Haya mabosi zangu wametoa ruhusa iletwe huku. . Mwezi April Mkuu wa Polisi Tanzania alienda CRDB akadeposit 68M in cash. Hizi pesa zilitoka wapi? Alafu jiulize deposit 68M nyumbani alibakiza ngapi.? . Same month CRDB wamempa Mkuu wa polisi mkopo wa 1B. CRDB needs to be

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

CRDB yavujisha Taarifa za kifedha za IGP Wambura na kusambazwa hadharani, jambo lililoibua maswali kuhusu namna taasisi hiyo inavyolinda taarifa za wateja wao. Wateja mbalimbali wameeleza kutoridhishwa na hali hiyo na kutoiamini benki hiyo kwa usalama wa taarifa zao binafsi.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

“Kama Hamtaki Kufundishwa SIASA Safi, Nanyi Msitufundishe IMANI Na DINI Wala Msiape Kwakushika BIBLIA Na QURAN Shikeni KATIBA Na Ilani Ya Chama” ~Askofu BENSON BAGONZA (PhD)

“Kama Hamtaki Kufundishwa SIASA Safi, Nanyi Msitufundishe IMANI Na DINI Wala Msiape Kwakushika BIBLIA Na QURAN Shikeni KATIBA Na Ilani Ya Chama”

~Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
Dr SALUMU (@dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

ZINC ni madini muhimu sana kwenye ustawi wa afya ya uzazi ya mwanaume uhitajika ili mbegu za kiume ziwe bora, husaidia mrija ya kupitishia mbegu na kuboresha afya ya tezi dume 👉Mwanaume mwenye upungufu wa madini ya zinc huwa na uwezo mdogo wa kusababisha ujauzito.

ZINC ni madini muhimu sana kwenye ustawi wa afya ya uzazi ya mwanaume uhitajika ili mbegu za kiume ziwe bora, husaidia mrija ya kupitishia mbegu na kuboresha afya ya tezi dume

👉Mwanaume mwenye upungufu wa madini ya zinc huwa na uwezo mdogo wa kusababisha ujauzito.