Shukuru-Anna Nkya (@shukurunkya) 's Twitter Profile
Shukuru-Anna Nkya

@shukurunkya

I’m a feminist and proud of it | Chaga - Zulu | Man U & Yanga

ID: 765065232138002432

calendar_today15-08-2016 05:59:00

4,4K Tweet

4,4K Followers

165 Following

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Karibuni wageni wetu. // Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwakaribisha viongozi wa nchi za Afrika Mashariki mara baada ya kuwasili Ngurdoto Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

East African Community (@jumuiya) 's Twitter Profile Photo

πŸ”Ί23rd Ordinary Summit of the EAC Heads of State. πŸ“Œ The EAC Summit of Heads of State admits the Federal Republic of Somalia as the 8th Member of the EAC in accordance with Article 3 of the Treaty for the Establishment of the EAC Villa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Amb.(Dr.)Peter Mutuku Mathuki,PhD

πŸ”Ί23rd Ordinary Summit of the EAC Heads of State.

πŸ“Œ The EAC Summit of Heads of State admits the Federal Republic of Somalia as the 8th Member of the EAC in accordance with Article 3 of the Treaty for the Establishment of the EAC

<a href="/TheVillaSomalia/">Villa Somalia</a> <a href="/HassanSMohamud/">Hassan Sheikh Mohamud</a> <a href="/pmathuki/">Amb.(Dr.)Peter Mutuku Mathuki,PhD</a>
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji unaofanywa na kampuni ya Mtanzania ya Lake Agro Company LTD ni ushuhuda namna wazawa pia wananufaika na sera bora za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu, ambapo uwekezaji wao unazalisha maelfu ya ajira na kukuza uchumi wa nchi yao. #MamaAnafanikisha

Shukuru-Anna Nkya (@shukurunkya) 's Twitter Profile Photo

One good things Rais Samia anafanya ni kufanya mambo yenye picha ya kuimarisha Muungano. Yanayofanyika Bara yanafanyika Zanzibar. #mamaanafanikisha kupunguza kero za Muungano

Shukuru-Anna Nkya (@shukurunkya) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka zichunguze kwa haki, kama haya yanayosemwa ni kweli, Rais Samia Suluhu amuondoe kwenye Unaibu Wazaziri, CCM wamuondoe kwenye Ubunge na apelekwe mahakamani.

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Idadi ya vifo vilivyotokana na maporomoko ya ardhi wilayani Hanang mkoani Manyara imeongezeka na kufikia watu 72. Waziri Jenista Mhagama amesema karibu nusu ya majeruhi wameruhusiwa kutoka hospitalini.

Idadi ya vifo vilivyotokana na maporomoko ya ardhi wilayani Hanang mkoani Manyara imeongezeka na kufikia watu 72.

Waziri Jenista Mhagama amesema karibu nusu ya majeruhi  wameruhusiwa kutoka hospitalini.
Getrude Mollel πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Maswali ya Msingi, Chadema muache wizi. 1. Kwanini Chama kama Chama kisitoe mchango wake kabla ya kuchangisha kwa Wananchi? 2. Kama ni mchango, why Kwa Wananchi wote na sio kwa Wana chama wao tu? 3. Kama hadi leo hamtaki kutaja kiasi mlichokusanya kwenye Join ze Cheni, kiasi

Maswali ya Msingi, Chadema muache wizi. 

1. Kwanini Chama kama Chama kisitoe mchango wake kabla ya kuchangisha kwa Wananchi?

2. Kama ni mchango, why Kwa Wananchi wote na sio kwa Wana chama wao tu?

3. Kama hadi leo hamtaki kutaja kiasi mlichokusanya kwenye Join ze Cheni, kiasi
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe, na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa Chama hicho God bless Lema pamoja na viongozi wengine wa chama hicho wametembelea majeruhi wa maafa ya mafuriko waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa

Majizzo (@officialmajizzo) 's Twitter Profile Photo

Jana wamefanya show yao ya kwanza ya E Digital , nampongeza sana Miso na washkaji zake. Nawaombea wapige show zaidi (nje ya EFM), yoyote mwenye show awape vijana wapate riziki. #FungaMtaaEFM #MisondoFungaMtaa

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Shule ya Msingi Darajani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ni miongoni mwa shule zilizonufaika na fedha za uhuru zilizotolewa na Rais Samia Suluhu mwaka 2021. Ujenzi wa bweni katika shule hiyo unaenda kusaidia wanafunzi wenye mahitaji maalum kusoma kwenye mazingira

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza kwa njia ya simu na Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutimiza matakwa yao ikiwemo ujenzi wa makazi ya walimu ili waweze kuwa karibu na maeneo yao ya kazi. #MamaAnafanikisha

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Kakonko unaotarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2024 ili wananchi waweze kupata huduma za afya karibu na makazi yao. Hadi sasa mkoa wa Kigoma una idadi ya Hospitali 11, vituo vya afya 41 na Zahanati 254. #MamaAnafanikisha

Serikali inaendelea na ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Kakonko unaotarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2024 ili wananchi waweze kupata huduma za afya karibu na makazi yao.

Hadi sasa mkoa wa Kigoma una idadi ya Hospitali 11, vituo vya afya 41 na Zahanati 254.

#MamaAnafanikisha