@SCOUSER the reds (@scouserthereds) 's Twitter Profile
@SCOUSER the reds

@scouserthereds

ID: 1804044581828546560

calendar_today21-06-2024 06:52:46

2,2K Tweet

214 Followers

192 Following

Tandy (@lfc_tandy) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ Liverpool fans let's celebrate winning the title by following each other! Follow Me Comment โค๏ธโค๏ธโค๏ธ paint everywhere red and follow everyone that likes it.. Ensure to follow back if you were followed!

๐Ÿšจ Liverpool fans let's celebrate winning the title by following each other!

Follow Me
Comment โค๏ธโค๏ธโค๏ธ paint everywhere red and follow everyone that likes it.. Ensure to follow back if you were followed!
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#Kipenga: โ€œSimba wataanzia ugenini mchezo wa kwanza wa Fainali na kwa hali ilivyo atacheza dhidi ya RS Berkane tarehe 17 Mei na mchezo wa pili wa Fainali utapigwa Mei 25 katika dimba la Benjamin Mkapaโ€ @wakanda_republic Brain Mpogole #Kipenga #HainaKuchoka #EastAfricaRadio

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia Mr Burudani ujue huyo ni Darassa, ukisikia Masai wa Mjini ujue ni Ali Kiba wa Kariakoo, ukisikia Bomboclat ujue Rajabu wa Mahuta, Mtwara wenyewe mnamwita Mfalme wa Nyashi, ukisikia Kibana ba Straata achana na Bilnass wa Nandy ila iweke Simba ndio Mwana halisi wa Mtaa

Ukisikia Mr Burudani ujue huyo ni Darassa, ukisikia Masai wa Mjini ujue ni Ali Kiba wa Kariakoo, ukisikia Bomboclat ujue Rajabu wa Mahuta, Mtwara wenyewe mnamwita Mfalme wa Nyashi, ukisikia Kibana ba Straata achana na Bilnass wa Nandy ila iweke Simba ndio Mwana halisi wa Mtaa
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Sina la kusema zaidiโ€”ila Che Malone lazima ajikaze kweli kweli kurudi kwenye hiyo lineup. Na si kwa sababu hatuwezi kumwaminiโ€”lakini hizi performances za Hamza na Chamou zimeweka standard mpya. Mungu awabariki sana hawa mabeki wetu. Atuzidishie mabeki kama hawa. Inshallah.

Sina la kusema zaidiโ€”ila Che Malone lazima ajikaze kweli kweli kurudi kwenye hiyo lineup.

Na si kwa sababu hatuwezi kumwaminiโ€”lakini hizi performances za Hamza na Chamou zimeweka standard mpya.

Mungu awabariki sana hawa mabeki wetu. Atuzidishie mabeki kama hawa. Inshallah.
Wilson Oruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mzeewajambia) 's Twitter Profile Photo

SIMBA SPORTS wanacheza mechi nyingi ngumu mnoo za Ligi Kwa jina โ€œUDHAMINIโ€ Haya ni moja ya Mambo yanapaswa Kutazamwa vizuri Kwenye KANUNI za ligi Msimu Ujao Ingawa mechi hizi zimewaimarisha sana Simba Kimataifa, bado tunahitaji FAIR COMPETITION kwa ustawi wa mpira wetu.

SIMBA SPORTS wanacheza mechi nyingi ngumu mnoo za Ligi Kwa jina โ€œUDHAMINIโ€

Haya ni moja ya Mambo yanapaswa Kutazamwa vizuri Kwenye KANUNI za ligi Msimu Ujao

Ingawa mechi hizi zimewaimarisha sana Simba Kimataifa, bado tunahitaji FAIR COMPETITION kwa ustawi wa mpira wetu.