Samdodo (@samson_mpinga) 's Twitter Profile
Samdodo

@samson_mpinga

Account and Information Technology professional

ID: 1713908080805625857

calendar_today16-10-2023 13:22:32

644 Tweet

364 Followers

1,1K Following

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tunahangaika kutafuta watoto huku mtandaoni wanapotea kumbe madogo wanawateka wanaua. Imagine Dogo ana miaka 13 kashateka Watoto 6 na wameshakufa tayari. Nimepata hasira 😡

FreeLissu (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Mtanzania anayejali,huruma,amani & upendo kwa wengine hawezi kukosa kuretweet hii post kwani msaada pekee uliobaki ni kiganja chake na kitufe cha retweet 👇

Mtanzania anayejali,huruma,amani & upendo kwa wengine hawezi kukosa kuretweet hii post kwani msaada pekee uliobaki ni kiganja chake na kitufe cha retweet 👇
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hii imeniumiza zaidi, ni kama moyo wangu umepata ganzi kwa kitendo alichofanyiwa huyu mzee wetu wa Tanga!! Bado Mtasimama Kwenye Majukwaa Na Kuwambia Wananchi Wasiogope Story Za Kutekwa Ni Drama Tu? Bado Mtasema Sio Kweli Ni Watu Wanajiteka Tu Wenyewe? Bado Mtatupa Mifano Na

Hii imeniumiza zaidi, ni kama moyo wangu umepata ganzi kwa kitendo alichofanyiwa huyu mzee wetu wa Tanga!!

Bado Mtasimama Kwenye Majukwaa Na Kuwambia Wananchi Wasiogope Story Za Kutekwa Ni Drama Tu? 

Bado Mtasema Sio Kweli Ni Watu Wanajiteka Tu Wenyewe? 

Bado Mtatupa Mifano Na
MARAGIA™🇰🇪 (@engrmaragia) 's Twitter Profile Photo

Unajiuliza amekosa Nini mpaka ahangaike kupigania watu Wengine,Kama ni nyumba nzuri anayo Mke mzuri Anae watoto magari na kadhalika,Unagundua kuwa nchi hii inahitaji watu watakao umia Kwa ajili ya Wengine,Watu watakao pigwa Kwa ajili ya Wengine, Retweet 2000 Kwa Heshima kwake

Unajiuliza amekosa Nini mpaka ahangaike kupigania watu Wengine,Kama ni nyumba nzuri anayo Mke mzuri Anae watoto magari na kadhalika,Unagundua kuwa nchi hii inahitaji watu watakao umia Kwa ajili ya Wengine,Watu watakao pigwa Kwa ajili ya Wengine,

Retweet 2000 Kwa Heshima kwake
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

SIKU INAKUJA NA HAIPO MBALI. TUTALIKOMBOA HILI TAIFA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI. REPOST KWA IMANI. COMMENT BENDERA YA TANZANIA.🇹🇿

SIKU INAKUJA NA HAIPO MBALI. TUTALIKOMBOA HILI TAIFA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI.

REPOST KWA IMANI.

COMMENT BENDERA YA TANZANIA.🇹🇿