Nobee (@rasnobee) 's Twitter Profile
Nobee

@rasnobee

Teacher |Aspring Philanthropist |B.A.Ed | Udsm Alumnus |

ID: 2907409811

calendar_today06-12-2014 07:27:47

1,1K Tweet

382 Followers

1,1K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

“Mamia ya waliouwawa wakishiriki siasa wangejua mwisho wa madai ya mageuzi ni watawala kuwapa ahueni za kiuchumi wapiganaji vinara, pengine wasingejihusisha na siasa hata kidogo.” TM via ⁦The Chanzo⁩ thechanzo.com/2024/12/28/kwe…

Nicolas Boucher (@bouchernicolas) 's Twitter Profile Photo

Free Excel Template Full Financial Statements + Key Ratios - built for clarity and speed. This took hours of focused work to get right. Here’s what’s inside: 1. Profit and Loss Statement 2. Balance Sheet 3. Cash Flow (Indirect Method) 4. Cash Flow (Direct Method) 5.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Polisi wamemrejesha Katibu Mkuu MNYIKA John John makao makuu ya CHADEMA usiku huu. Polisi, mrejesheni na M/M’kiti wa CDM, John Heche haraka iwezekanavyo popote mnapomshikilia. Pia, msiache kumrejesha Hilda Newton akiwa salama. Hakuna jinai wametenda. Acheni kusumbua raia wema.

Redox DR. Kibendera (@damianikimario) 's Twitter Profile Photo

Tutanyamaza na kuona huu ushenzi mpaka lini? , huu ukimya hizi damu za ndugu zetu zitatuacha salama kweli Ifike hatua sasa tukubali tulishafanya kosa kwann tuendelee kurudia haya makosa, Leo hii mtu kuuwawa imekua jambao la kawaida la mazoea TUTOKE KWENYE HUU USINGIZI

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kama umeweka #NoReformsNoElection na sijaku-follow mpk sasa weka hapa maana machawa nimewafyekelea mbali 👊🏽 Sambaza ujumbe kila kona #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection Weka bango pia tuhakikishe madhulmat yanazidi kuchanganyikiwa #NoReformsNoElection

Kama umeweka #NoReformsNoElection na sijaku-follow mpk sasa weka hapa maana machawa nimewafyekelea mbali 👊🏽
Sambaza ujumbe kila kona 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
Weka bango pia tuhakikishe madhulmat yanazidi kuchanganyikiwa
#NoReformsNoElection