Peter Kefand. 006 (@pkefand) 's Twitter Profile
Peter Kefand. 006

@pkefand

Pkefand (P) Maisha ni furaha Mtu Wangu,๐Ÿ˜๐Ÿ‘๐Ÿฝ

ID: 1121048107242917888

calendar_today24-04-2019 13:47:51

72,72K Tweet

30,30K Followers

1,1K Following

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅToyota Harrier aka Anaconda, Machine Moja ya Maana sana.. . Unaweza Jiuliza kwanini hii gari imeitwa Anaconda, moja ya joka kubwa duniani lenye uzito na urefu wa kutosha.. . Na unaambiwa majike Yake ndo huwa makubwa kuliko dume, Mambo Yasiwe mengi funga mkanda tuanze safari๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅToyota Harrier aka Anaconda, Machine Moja ya Maana sana..
.
Unaweza Jiuliza kwanini hii gari imeitwa Anaconda, moja ya joka kubwa duniani lenye uzito na urefu wa kutosha..
.
Na unaambiwa majike Yake ndo huwa makubwa kuliko dume, Mambo Yasiwe mengi funga mkanda tuanze safari๐Ÿ‘‡
๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ข๐œ๐ข๐š๐ฅ๐ฌ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ฎ๐Ÿ‚๐Ÿ (@officialshakuu) 's Twitter Profile Photo

๐ŸšจAisee ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’” MAISHA ya ndoa ni changamoto Sana MWANAMKE yupo Tayari kufanya Jambo lolote lile kukizi HISIA ZAKE. Unawezaje KUCHUKUA UTUPU wa Mume wako na kumtumia MCHEPUKO wako. R.I.P mwenetu ๐Ÿšฎ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ ๐Ÿ“Œ๐‘ถ๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต ๐‘ป๐‘ฏ๐‘น๐‘ฌ๐‘จ๐‘ซ & ๐‘จ๐‘ซ๐‘ฝ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฌ ๐‘ฏ๐‘ฌ๐‘น No. 1/10๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‚

๐ŸšจAisee ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’” MAISHA ya ndoa ni changamoto Sana MWANAMKE yupo Tayari kufanya Jambo lolote lile kukizi HISIA ZAKE. Unawezaje KUCHUKUA UTUPU wa Mume wako na kumtumia MCHEPUKO wako. R.I.P mwenetu ๐Ÿšฎ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

๐Ÿ“Œ๐‘ถ๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต ๐‘ป๐‘ฏ๐‘น๐‘ฌ๐‘จ๐‘ซ & ๐‘จ๐‘ซ๐‘ฝ๐‘ฐ๐‘บ๐‘ฌ ๐‘ฏ๐‘ฌ๐‘น  No. 1/10๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‚
Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

๐’๐๐ˆ๐๐„๐‘ ๐๐ƒ๐ˆ๐Ž ๐Š๐€๐™๐ˆ ๐๐†๐”๐Œ๐” ๐‰๐„๐’๐‡๐ˆ๐๐ˆ ๐๐„๐๐†๐ˆ๐๐„ ๐Š๐”๐‹๐ˆ๐Š๐Ž ๐™๐Ž๐“๐„ โ–ช๏ธŽWinda Nikuwinde! Kama ulikimbia hesabu la sita 'C' usiwaze kuwa Sniper, we waangalie wakipita kwenye sherehe za Uhuru & kwenye movie tu! โ–ช๏ธŽHii hauijui โคต๏ธ๐Ÿงต

๐’๐๐ˆ๐๐„๐‘ ๐๐ƒ๐ˆ๐Ž ๐Š๐€๐™๐ˆ ๐๐†๐”๐Œ๐” ๐‰๐„๐’๐‡๐ˆ๐๐ˆ ๐๐„๐๐†๐ˆ๐๐„ ๐Š๐”๐‹๐ˆ๐Š๐Ž ๐™๐Ž๐“๐„

โ–ช๏ธŽWinda Nikuwinde! 

Kama ulikimbia hesabu la sita 'C' usiwaze kuwa Sniper, we waangalie wakipita kwenye sherehe za Uhuru & kwenye movie tu!

โ–ช๏ธŽHii hauijui
     โคต๏ธ๐Ÿงต
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Mjue Caleb D. Bradham: Mwanzilishi wa Pepsi, Kinywaji Maarufu Duniani. "Mwanzilishi aliyeunda kampuni iliyofilisika mara mbili na kujaribu kuiuza kwa Coca-Cola mara tatu, lakini walikataliwa kila wakijaribu. Leo hii, Pepsi inadunda kama moja ya brand kubwa duniani, ikiwa na

Mjue Caleb D. Bradham:
Mwanzilishi wa Pepsi, Kinywaji Maarufu Duniani.

"Mwanzilishi aliyeunda kampuni iliyofilisika mara mbili na kujaribu kuiuza kwa Coca-Cola mara tatu, lakini walikataliwa kila wakijaribu. Leo hii, Pepsi inadunda kama moja ya brand kubwa duniani, ikiwa na
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

MAPINDUZI YA TALIBAN NCHINI AFGHANISTAN 2021 NA 1996 . Mapinduzi ya Taliban katika serikali ya Afghanistan hayakuwa mapinduzi ya siku moja lakini ni safari ya miaka 25 ya uasi pamoja na hatua za kimkakati, kisiasa na kijeshi. Kabla ya mapinduzi hayo Taliban walifanya mapinduzi

MAPINDUZI YA TALIBAN NCHINI AFGHANISTAN 2021 NA 1996
.
Mapinduzi ya Taliban katika serikali ya Afghanistan hayakuwa mapinduzi ya siku moja lakini ni safari  ya miaka 25 ya uasi pamoja na hatua za kimkakati, kisiasa na kijeshi.
Kabla ya mapinduzi hayo Taliban walifanya mapinduzi
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Ukipata Nafasi Tazama Picha Hizi Za Mwisho Sekunde Chache Kabla Mauti. Historia imejaa matukio ya kutisha. Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa sekunde chache kabla ya watu kukumbana na mauti yao. Thread ๐Ÿงต

Ukipata Nafasi Tazama Picha Hizi Za  Mwisho Sekunde Chache Kabla Mauti. 

Historia imejaa matukio ya kutisha.

Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa sekunde chache kabla ya watu kukumbana na mauti yao.

Thread ๐Ÿงต
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanapoisikia ngoma ya โ€œSee You Againโ€, mara moja wanakumbuka tukio la kusikitisha la kifo cha Paul Walker, muigizaji maarufu wa mfululizo wa Fast & Furious. Wengi huamini kuwa ngoma hii iliandikwa moja kwa moja kwa ajili ya kuenzi maisha yake. Lakini ukweli wa ndani

Watu wengi wanapoisikia ngoma ya โ€œSee You Againโ€, mara moja wanakumbuka tukio la kusikitisha la kifo cha Paul Walker, muigizaji maarufu wa mfululizo wa Fast & Furious.

Wengi huamini kuwa ngoma hii iliandikwa moja kwa moja kwa ajili ya kuenzi maisha yake.

Lakini ukweli wa ndani
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hili swala la CHADEMA kutoshiriki UCHAGUZI MKUU โ€ฆ Itโ€™s a Blessing in Disguise ๐Ÿฅธ Ni ukweli mchungu kwamba CHAMA CHETU kilikua kimeoza mno- Viongozi waliokuwepo walikuwa wanatutumia kwa maslahi yaoโ€ฆ Nafikiri hiii ndio sababu kuu iliowapelekea LISSU na HECHE

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wanachama wa CDM wanaoamini kwa mfumo huu wanaweza kuwa wabunge,madiwani busara ni kuhamia vyama ambavyo vimesaini kushiriki uchaguzi na sio kuilazimisha CDM kushiriki.

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Shoutout kwa kila mwana anaejipanga upya maisha yake.. bila msaada, urithi, kubebwa, wala connection. Ni juhudi, maumivu na nidhamu. Nakuheshimu sana kaka. Nakukubali ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kuna ligi ya kuipendeza dola ili kuvuna chochote kitu itazaliwa kati ya Njaa55 na favorite wa sasa. Watapasuana! Nimewasanua kama mamajusi wa Mara!

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Bank nyingi hazina nia ya dhati ya kusaidia wajasiriamali wadogo. Mjasiriamali mkubwa ana mkopo wa interest ya 4-10%, mdogo anapewa mpaka 22%. Kwa nini? Kuna sababuโ€”na nitazieleza zote hapa. THREAD: ๐Ÿ‘‡

Bank nyingi hazina nia ya dhati ya kusaidia wajasiriamali wadogo.

Mjasiriamali mkubwa ana mkopo wa interest ya 4-10%, mdogo anapewa mpaka 22%. Kwa nini?

Kuna sababuโ€”na nitazieleza zote hapa.

THREAD: ๐Ÿ‘‡
MIRIAM๐Ÿ’œ (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Itโ€™s Stawi Lab Day๐Ÿ”ฅ Meet the incredible panelists behind the bold conversation: "A Collective Call to Invest in Youth-Led Organizations and Movements." #MiaKwaVijana

Itโ€™s Stawi Lab Day๐Ÿ”ฅ
Meet the incredible panelists behind the bold conversation: "A Collective Call to Invest in Youth-Led Organizations and Movements."

#MiaKwaVijana
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Biashara Asubuhi, Mahesabu Jioni. Leo, Jumamosi ya tarehe 28 Juni 2025, saa mbili kamili asubuhi, nimekuwa mtia nia wa kwanza kufika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuchukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Siha. Hatua hii

Biashara Asubuhi, Mahesabu Jioni.

Leo, Jumamosi ya tarehe 28 Juni 2025, saa mbili kamili asubuhi, nimekuwa mtia nia wa kwanza kufika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuchukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Siha.

Hatua hii