Nyanda (@paulbnyanda) 's Twitter Profile
Nyanda

@paulbnyanda

ID: 1285835830645456896

calendar_today22-07-2020 07:15:49

7,7K Tweet

9,9K Followers

1,1K Following

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume •Una hasira , be silent •Huna pesa, be silent •Una maumivu, be silent •Umeachwa, be silent •Mishe zako aziendi, be silent •Unapitia kipindi kigumu be silent learn to stay silence. SILENT IS THE POWER.

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Vitu ambavyo ni ngumu kuvielewa mpaka u'experience: 1. Kupoteza mzazi 2. Kuheal & Move on 3. Kurogwa 4. Kuanza kitu from the scratch 5. Kuendesha familia.. 6. Depression 7....??

January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Heri 2025 sote. Mola abariki kazi zetu, atujalie afya, alinde familia zetu, atunyime shaka juu ya Ukuu wake, atupe kumbukumbu ya ufupi wa maisha yetu, alainishe ndimi zetu, akunjue nyoyo zetu, aangamize fitina na chuki, anyunyize manukato ya upendo, tukawe nyenzo ya mapenzi yake.

Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Philip Mpango, hakuipenda siasa ila siasa ilimpenda na ikamfata nyumbani kwake, hajawahi gombea udiwani wala ubunge, Hata MP bungeni 2016 aliteuliwa na Rais na kuwa Waziri. Na sijui kama alishawahi kupanda jukwaani kuomba kura. Kama bahati ni mtu basi Mpango ndo Bahati mwenyewe

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo: 👉Kuzaliwa: 28/05/1992 👉Kuugua hadi kupelekwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) hadi kupelekwa mochwari ikidhaniwa imefariki: Dec 2024 - 21/01/2025 👉Kupona kimiujiza na kuzaliwa upya (born again): 22/01/2025 This is a living miracle!

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Leo nataka kuzungumza na boys; wadogo zangu wapiganaji kabisa: 1.) Maisha siyo rahisi sana. Mafanikio siyo rahisi kabisa. Yatakujaribu. Yatakukatisha tamaa. Usikubali. Komaa, pambana! Kukata tamaa ni dhambi. Kurudi nyuma ni mkakati kabisa vitani. Wewe siyo mwepesi kiasi

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

For Boys Only – Wale Fighters Wenzangu Tu, if you are faint-hearted ujumbe huu haukuhusu, beat it! 😆🤛🏾 1. Dream big. Believe. Think . Plan. Chukua hatua. Become. Usijizuie kufikiria makubwa. Kama unaweza kuota, unaweza kutimiza. Dunia ni ya wale wanaothubutu. #TeamBelieve 2.

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Following the shocking and brutal attack against Father Charles Kitima, we join Tanzanians across the political spectrum in praying for his full recovery and condemning all acts of violence, especially those that aim to silence calls for justice, reconciliation, and human rights.

Isaack Nsumba (@isaack_nsumba) 's Twitter Profile Photo

Wakati Mwingine Inabidi Uachane Kabisa na Uliyenae Na UKUBALI KUMPOTEZA... Ndipo Mungu Akuletee Aliye Bora Zaidi. Biblia Inasema "Mungu Aliona Adamu Yuko Pekeake Ndipo Akamletea Mwenzi" Manake Ni Kwamba Kanuni Ya Kiungu Ya Kumpa Mtu Mwenzi Ni Mpaka Huyo Mtu AWE PEKEAKE. Mungu

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Sehemu Za SIRI Za MWANAMKE Zikishikwa Na Mwanaume Hulainika Maana Yake Nikwamba Mwanaume Huyafanya Maisha Ya Mwanamke Kua Malaini. Sehemu Za SIRI Za MWANAUME Zikishikwa Na Mwanamke Hua Ngumu Sana Maana Yake Nikwamba Mwanamke Huyafanya Maisha Ya Mwanaume Kua Magumu OFSA NGIRI 🐗

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Sijawahi kuona mtu: -Anayefanya kazi kwa bidii, -Anayemwamini Mungu, -Anayejaribu vitu vipya, -Anayeamka alfajiri, Kisha akose kufanikiwa. Sijawahi kumuona.

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Ukianza kua profitable, upgrade vifaa vyako vya kazi; 1. Nunu Laptop nzuri, 2. Smartphone ya 5G (Samsung), 3. Wifi yenye kasi ya 5G, 4. Meza na kiti kizuri, Hivi vitu ni vya muhimu sana, vipe kipaumbele, Sahau vitu vingine kwanza.