pandael Lupyana (@pandaellupyana) 's Twitter Profile
pandael Lupyana

@pandaellupyana

🚎Motor vehicle mechanical and driver.

🐋financial

ID: 1638191229635526660

calendar_today21-03-2023 14:50:24

2,2K Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

pandael Lupyana (@pandaellupyana) 's Twitter Profile Photo

Wakati nilikuwa mdogo sikuwa najali shida wal raha nilikuwa nategemea wazazi wangu sasa nimekuwa naon shida nyingi dunian kuepuka siwezi msinicheke ndivyo mambo yanavyoenda leo kwangu kesho kwako. MSINGI ni KAZI.

pandael Lupyana (@pandaellupyana) 's Twitter Profile Photo

Kwa magonjwa yalivyoojijaza huko nje bora tuendelee kunyonga 2mbili watu tunazungukana sana its a safe mode for health against STD's.

XAUUSD_FAN (@xauusd_fan) 's Twitter Profile Photo

Kama hujawahi kuumizwa na soko, basi bado hujafanya forex kwa kweli. Forex ni maumivu: learning phase, control ya emotions, utapeli, kusubiri setup bora, na kudharauliwa na marafiki. Ukivumilia yote haya na bado hujagive up ndiyo unaanza kuwa trader halisi.