Jones
@onealworld
ID: 127877390
30-03-2010 14:13:12
982 Tweet
144 Followers
389 Following
Retweets nyingi sana kwa Adv. Dickson Matata, anaketi sasa.. Mzumbe University, LL.B Civil & Criminal litigations, Corporate matters, Debt collection, Family matters, drafting of various Legal documents, and Registrations of various entities. Follow 👉🏾 Adv. Dickson Matata 0716 705 485
Najua jina linaweza kushtua 👉🏽Kinenula MadavaJr 😂😂 ila usiwe na shaka lakini na mimi nimem-follow - anaRT na ku-comment very sober na mtetezi wa Haki, utawala wa sheria #KatibaMpya Usiache kum follow 👈🏾👈🏾
Mtazame kijana huyu wa kitanzania akisimulia alivyokamatwa na kuteswa na genge la ACP Ramadhan Kingai ambaye sasa ni RPC wa Kinondoni. Kama kweli Samia Suluhu na Kassim Majaliwa Majaliwa wanataka kumaliza tatizo, iundwe tume huru ya kumaliza tatizo hili sugu.
Mliojivunia Samia Suluhu kuwa rais kwa sababu ni 👉🏽 mwanamke 👉🏽mzanzibari 👉🏽 mwislamu na si kwa sababu alistahili na ana uwezo kama kiongozi; Mjiandae kupokea lawama kuwa kutokana na utendaji mbovu wa Samia wafuatao hawafai uongozi 👉🏽wanawake 👉🏽 wazanzibari 👉🏽 waislamu Hizi