Obadiah (@nerbartobadiah) 's Twitter Profile
Obadiah

@nerbartobadiah

entrepreneurship, politics, citizen'speaker, #katiba-mpya #Tanzaniampya
#marriage morals #Katibumwenezi J Ukonga23/2028 #Mbunge wa Bunge la JMTanzania 2030

ID: 1359090070318444551

linkhttp://www.nene.tz calendar_today09-02-2021 10:42:11

4,4K Tweet

323 Followers

594 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. 

Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa Katibu wa BAVICHA Nyamagana kamanda Salumu Libaba. Yupo kituo cha polisi kati (Central) Mwanza. Itakumbukwa kwamba mwenyekiti wake Michael Christian naye ailikamatwa na kupelekwa Central polisi wiki chache kabla hajauawa.

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Kwenye operation zone yoyote, ukiona system inaanza kufanya maamuzi kwa misuli badala ya sheria, ujue panic tayari imeingia ndani ya command room. Hii si tena operation ya kudhibiti taarifa, ni operation ya kudhibiti hofu yao wenyewe. Na kila mara system inapojaribu kuzima moto

Dua Lyamzito 🇹🇿 (@duahamud) 's Twitter Profile Photo

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.

Huyu naitwa Renatus Charles Hangaya ambaye ni mmoja wa walinzi wa Mhe. Lissu alitekwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 09/11/2025. 

Watu waliokuwa na magari na silaha za moto ambao walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi, walifika nyumbani kwake usiku na kuondoka naye.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wiki nzima tangu niachiwe na polisi, nimekua nikidai Paspoti yangu ili nisafiri kwaajili ya kupata matibabu bila mafanikio. Hakuna sababu yoyote ya vyombo vya dola kuendelea kushikilia paspoti yangu. Nafanyiwa haya kwasababu ya msimamo wangu wa kisiasa, nimeona ni muhimu

Obadiah (@nerbartobadiah) 's Twitter Profile Photo

Jpili nilifika gereza la Ukonga na kuonana na mwenyekiti Taifa Chadema Tanzania Mh. Tundu Antiphas Lissu. Yuko imara sana alisisitiza kwamba maumivu waliyonayo umma ni ya WOTE kila mmoja anaishi maumivu. Alisema bila UKWELI&UWAJIBIKAJI hakuna MARIDHIANO na akasisitiza HAKUNA AMANI BILA HAKI

Jpili nilifika gereza la Ukonga na kuonana na mwenyekiti Taifa <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> Mh. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>. Yuko imara sana alisisitiza kwamba maumivu waliyonayo umma ni ya WOTE kila mmoja anaishi maumivu.

Alisema bila UKWELI&amp;UWAJIBIKAJI hakuna MARIDHIANO na akasisitiza HAKUNA AMANI BILA HAKI
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza? Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa hivi? Maji, umeme, Barabara au kitu chochote bila binadamu kuwepo vina maana gani?

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Achieni watu wetu, acheni kuuzia Watanzania uoga. Serikali ambayo haina uhalali (legitimacy) haiwezi kutishia wananchi ambao ndio wenye Nchi. Hakuna aliewachagua na hakuna anaewaunga mkono. Kamwe Watanzania hawatakubali kuwa koloni au watumwa wenu.

Achieni watu wetu, acheni kuuzia Watanzania uoga.

Serikali ambayo haina uhalali (legitimacy) haiwezi kutishia wananchi ambao ndio wenye Nchi.

Hakuna aliewachagua na hakuna anaewaunga mkono.

Kamwe Watanzania hawatakubali kuwa koloni au watumwa wenu.
Lucas Ngoto (@lucas_ngoto) 's Twitter Profile Photo

IKITOKEA ROHO WA MUNGU AKAWAINGIA WOTE WALIOSIMAMIA UCHAGUZI NGAZI YA KITUO MPAKA TAIFA NA WAKAAMUA KUSEMA UKWELI WA KILICHOFANYIKA TUNAWEZA KUSIWE NA MBUNGE NA DIWAN HAPA NCHINI UDANGANYIFU NI MWINGI MNO NATAMANI ROHO WA MUNGU AWASHUKIE WAJIKUTE WANATUBU

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Nchi yetu. Nchi iliyopendwa na kuwa kumbilio la wote walioteswa Duniani, Nchi iliyotoa hifadhi kwa wapigania Uhuru na haki Duniani. Nchi iliyomficha Mandela asiuwawe na Makaburu, ikatoa hifadhi kwa wapigania uhuru wa Afrika kusini, Angola, Zimbabwe.. Nchi iliyompa

Obadiah (@nerbartobadiah) 's Twitter Profile Photo

Ukiangalia hapa na ukawaza 9Dec alafu ukawaza kile kinachoitwa tume ya uchunguzi wa VURUGU na ukasikiliza maoni ya watu wengi, unajiuliza je masikio na macho yao yanaona na kusikia kama mimi ninavyosikia na kuona?

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA KILE KINACHOITWA "MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI" BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025.

MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA KILE KINACHOITWA "MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI" BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025.