prince HF (@mzalend91282884) 's Twitter Profile
prince HF

@mzalend91282884

President & CEO of HF Group

ID: 1169292621791014914

calendar_today04-09-2019 16:55:28

1,1K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

"Mwalimu Nyerere alisema vijana mkiogopa mtakuja kutawaliwa na wahuni, wauaji na wezi" ~BUTIKU Na kipindi hiki nchi inatawaliwa na Wahuni, wauaji na wezi wa rasilimali za nchi yetu.

"Mwalimu Nyerere alisema vijana mkiogopa mtakuja kutawaliwa na wahuni, wauaji na wezi" ~BUTIKU

Na kipindi hiki nchi inatawaliwa na Wahuni, wauaji na wezi wa rasilimali za nchi yetu.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hongera shangazi Maria Sarungi Tsehai kwa wimbo huu. Hakika Vita ya sasa na WAKOLONI WEUSI ni nyepesi, dunia ya tekinolojia inaendelea kurahisisha MAPMBANO. Sikiliza ujumbe wa hii nyimbo๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tafakari na Ushuhuda ya Eid Al Uddha.! Mara zote wakati wa kufunga mkutano unapokaribia huwa tunamaliza kwa kuweka chagizo la fedha maarufu kama Tone Tone. Makamu Mwenyekiti John Heche akiwa jukwaani na kapu la chagizo mimi huwa na chukua kikapu kimoja napita nyuma ya mkutano

Tafakari na Ushuhuda ya Eid Al Uddha.!

Mara zote wakati wa kufunga mkutano unapokaribia huwa tunamaliza kwa kuweka chagizo la fedha maarufu kama Tone Tone.

Makamu Mwenyekiti <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>
akiwa jukwaani na kapu la chagizo mimi huwa na chukua kikapu kimoja napita nyuma ya mkutano
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hivi hadi kufikia Machi 2021, Ndugai angelijua kuna siku angeliamka siyo spika wa Bunge tena? Humphrey Polepole angeliamka ajikute sio mwenezi wa CCM? Bashiru angejikuta sio Katibu Mkuu Kiongozi? Sabaya sio Mkuu wa Wilaya ni mfungwa? Hawa ni watu wakati wa JPM walikuwa na

Hivi hadi kufikia Machi 2021, Ndugai angelijua kuna siku angeliamka siyo spika wa Bunge tena? Humphrey Polepole angeliamka ajikute sio mwenezi wa CCM? 

Bashiru angejikuta sio Katibu Mkuu Kiongozi? Sabaya sio Mkuu wa Wilaya ni mfungwa? Hawa ni watu wakati wa JPM walikuwa na
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

"Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari...";- Askofu Bagonza.

"Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura  ushaliwa tayari...";- Askofu Bagonza.
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

No Reforms, No Election Yarindima Mitandaoni Watanzania mitandaoni wameibuka kwa wingi kusambaza ujumbe wa No Reforms, No Election (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi) wa chama cha CHADEMA mitandaoni, hii imefanya kampeni hiyo kuwa jambo pekee linalozungumzwa kwa ujumla katika

No Reforms, No Election Yarindima Mitandaoni

Watanzania mitandaoni wameibuka kwa wingi kusambaza ujumbe wa No Reforms, No Election (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi) wa chama cha CHADEMA mitandaoni, hii  imefanya kampeni hiyo kuwa jambo pekee linalozungumzwa kwa ujumla  katika
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tunaposema #NoReformsNoElection ni mabadiliko gani yanayohitajika? Haya yanahitaji kubadilishwa: ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Matokeo ya uchaguzi wa Rais, mara tu yanapotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, huwa ya mwisho na hayawezi kisheria kupingwa mahakamani, kulingana na Ibara ya 41(7) ya Katiba ya

Tunaposema #NoReformsNoElection ni mabadiliko gani yanayohitajika?
Haya yanahitaji kubadilishwa:
๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Matokeo ya uchaguzi wa Rais, mara tu yanapotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, huwa ya mwisho na hayawezi kisheria kupingwa mahakamani, kulingana na Ibara ya 41(7) ya Katiba ya
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Œ Pin this, soma, share! โ€ผ๏ธBREAKING NEWSโ€ผ๏ธ ๐Ÿšจโ€ผ๏ธUJUMBE KUTOKA TUNDU LISSUโ€ผ๏ธ๐Ÿšจ โ€œJaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi

๐Ÿ“Œ Pin this, soma, share!
โ€ผ๏ธBREAKING NEWSโ€ผ๏ธ
๐Ÿšจโ€ผ๏ธUJUMBE KUTOKA TUNDU LISSUโ€ผ๏ธ๐Ÿšจ

โ€œJaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM.
Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Letโ€™s go #Tanzania We keep this trending #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection Naendelea kutafuta ambao sijawafolo Twende in lockstep! โœŠ๐Ÿฝ

Letโ€™s go #Tanzania
We keep this trending 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
 Naendelea kutafuta ambao sijawafolo 
Twende in lockstep! โœŠ๐Ÿฝ
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

We woke up like this! #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

We woke up like this!
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba

2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo.  Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise & Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE). Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na

Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise &amp; Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE).

Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na
Tanzania Business Insight (@tanzaniainsight) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—›๐—ข๐—ฆ๐—ง๐—ฆ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข๐—ฆ ๐—˜๐—จ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ถ๐—ด๐—ป ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐˜๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ฐ๐˜‚๐˜€๐˜€ ๐—ฝ๐—ผ๐—น๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—น ๐˜€๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ฎ๐—ต๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ ๐—ผ๐—ณ ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€ โ—พThe crunch talks come after European Parliament passed a resolution in May

๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—›๐—ข๐—ฆ๐—ง๐—ฆ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข๐—ฆ 

๐—˜๐—จ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ถ๐—ด๐—ป ๐—บ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐˜๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ฐ๐˜‚๐˜€๐˜€ ๐—ฝ๐—ผ๐—น๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—น ๐˜€๐—ถ๐˜๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ฎ๐—ต๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ ๐—ผ๐—ณ ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€

โ—พThe crunch talks come after European Parliament passed a resolution in May
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

*Baba Askofu Bagonza*๐Ÿ‘‡๐Ÿพ UCHURO WA TAIFA: Tuzinduke. Nianze kwa kutoa salaam zangu za pole kwa familia ya hayati Job Ndugai. Pole kwa Ofisi nzima ya Bunge (Kupitia Katibu wa Bunge). Pole kwa Mh. Rais. Pole zaidi kwa taifa letu kutokana na msiba huu. Kuna kitu kisicho cha kawaida

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma. Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma. Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa