Costa Mwacha (@mr_mwacha) 's Twitter Profile
Costa Mwacha

@mr_mwacha

Roman Catholic ✝️ shabiki wa Yanga🔰 Manchester United⛔

ID: 1529713981526614016

linkhttp://www.mwacha.tz.com calendar_today26-05-2022 06:40:30

4,4K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Grace Rweyemamu, karibu sana CHADEMA ya asali na maziwa. Ukiijua haki huwezi kuwa sehemu ya mbogamboga. Ukiona mwanachama wa MaCCM anahamia CHADEMA wakati wa #noreformsnoelection fahamu kwamba, hiyo ni mali safi. Hata hivyo, ukiondoa njaa na tamaa, Watanzania wote ni CHADEMA.

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Elizabeth Mambosho mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA, Aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA Awajibu Akina Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwakuwa walizoea kufanya biashara za siasa ila sasa Duka Limefungwa.

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

🔥 BIASHARA 🔥 Walio hama Chadema wataenda CHAUMA na wameahidiwa Kupewa Majimbo 30 na viti maalumu pia watapewa Million 200 kila Jimbo watasaidiwa magari na gharama za kampeni. Ni mpango wa CCM Kuhalalisha kua kuna uchaguzi huru na haki . #Njaa55

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Katika kongamano lililoandaliwa na International Democratic Union (IDU) na kufanyika nchini Ubelgiji, Bi. Alicia Magabe ambaye ni mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameonesha huzuni yake kwa mashtaka anayoshtakiwa mume wake kwa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

This “magnificent and stunning photo” trend is the courageous content you will see today.✊️ #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini

This “magnificent and stunning photo” trend is the courageous content you will see today.✊️ #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hellow X, in Tanzania, we are encountering some difficulties when using the 𝕏 application on both Android & iOS. To access/post words, pictures, videos on 𝕏, it is necessary to have the VPN. Support, does this issue stem from your order or our local service provider's probs?

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

“Natamani leo hii tuanze kuweka matofali mengi zaidi ili tuweke historia, Lengo ni Matofali milioni moja lakini kwa dhati kabisa niwaombe tuanze hivi sasa kujenga nyumba yetu. Angalau tufike matofali Elfu 20 siku ya leo, hili linawezekana ndugu zangu, tulifanye kwa pamoja ili

“Natamani leo hii tuanze kuweka matofali mengi zaidi ili tuweke historia, Lengo ni Matofali milioni moja lakini kwa dhati kabisa niwaombe tuanze hivi sasa kujenga nyumba yetu. 

Angalau tufike matofali Elfu 20 siku ya leo, hili linawezekana ndugu zangu, tulifanye kwa pamoja ili