Moses Mongomongo (@mongomongo74421) 's Twitter Profile
Moses Mongomongo

@mongomongo74421

Plumber

ID: 1827339494963511297

calendar_today24-08-2024 14:58:26

40 Tweet

261 Followers

1,1K Following

Ki Messi Mweusi ๐Ÿ (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Tafadhali RT. ๐Ÿ“Œ Yanga vs Namungo 2-0 Yanga vs Mashujaa 3-2 Yanga vs Prisons 4-0 Yanga vs Dodoma Jiji 4-0 Yanga vs Fountain Gate 5-0

Tafadhali RT. ๐Ÿ“Œ

Yanga vs Namungo 2-0
Yanga vs Mashujaa 3-2
Yanga vs Prisons 4-0
Yanga vs Dodoma Jiji 4-0
Yanga vs Fountain Gate 5-0
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemtolea uvivu Rais Biden na chama cha Democrats kuhusu matukio ya kigaidi yanayotokea nchini Marekani kwa siku za hivi karibuni haswa akitaja Sera za Rais huyo anayemaliza wakati wake mwezi huu wa January kuwa ndiyo chanzo cha

#HABARI Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemtolea uvivu Rais Biden na chama cha Democrats kuhusu matukio ya kigaidi yanayotokea nchini Marekani kwa siku za hivi karibuni haswa akitaja Sera za Rais huyo anayemaliza wakati wake mwezi huu wa January kuwa ndiyo chanzo cha
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #TotalEnergiesCAFCL โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šTP Mazembe ๐Ÿ“† 04.01.2025 ๐ŸŸ Benjamin Mkapa ๐Ÿ•– 4PM (EAT) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐Ÿ”ฐ 

๐Ÿ† #TotalEnergiesCAFCL 
โšฝ๏ธ Young Africans SC๐Ÿ†šTP Mazembe 
๐Ÿ“† 04.01.2025
๐ŸŸ Benjamin Mkapa 
๐Ÿ•– 4PM (EAT) 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Queen Online Business (@queenonlinebiz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ #QUALITY SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ ~Brand name; CAT๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ ~Size; 39 40 41 42 43 44 45 โžก๏ธPrice; 100,000/= ~Delivery available ๐Ÿ“ž 0623346245

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ

#QUALITY SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ

~Brand name; CAT๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ

~Size; 39 40 41 42 43 44 45

โžก๏ธPrice; 100,000/=

~Delivery available
๐Ÿ“ž 0623346245
Young Africans SC English (@youngafricansen) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi ๐‰๐จ๐ง๐š๐ญ๐ก๐š๐ง ๐ˆ๐ค๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐จ๐ฆ๐›๐จ ๐Ÿคฉ๐Ÿ”ฐ #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko

Mwananchi ๐‰๐จ๐ง๐š๐ญ๐ก๐š๐ง ๐ˆ๐ค๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐จ๐ฆ๐›๐จ ๐Ÿคฉ๐Ÿ”ฐ

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Karibu Jangwani ๐‰๐จ๐ง๐š๐ญ๐ก๐š๐ง ๐ˆ๐ค๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐จ๐ฆ๐›๐จ ๐Œ๐€๐’๐‡๐ˆ๐๐„ ya Kugusa na Kufika Kwao Jumla Jumla๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Karibu Jangwani ๐‰๐จ๐ง๐š๐ญ๐ก๐š๐ง ๐ˆ๐ค๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐จ๐ฆ๐›๐จ

๐Œ๐€๐’๐‡๐ˆ๐๐„ ya Kugusa na Kufika Kwao Jumla Jumla๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Ki Messi Mweusi ๐Ÿ (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kuna mashabiki wanatoka Mbeya, Iringa, Morogoro, Dodoma, Mwanza, Arusha, Tanga, Bagamoyo, Pwani, Znz na nchi kama Kenya & UG kuja kutazama mechi ya Jumamosi. Mechi muhimu ya kihistoria. Halafu kuna hawa watu wa Dar wanaojiita Yanga lia lia wao ushabiki wao mwisho mitandaoni. ๐Ÿ˜…

Kuna mashabiki wanatoka Mbeya, Iringa, Morogoro, Dodoma, Mwanza, Arusha, Tanga, Bagamoyo, Pwani, Znz na nchi kama Kenya & UG kuja kutazama mechi ya Jumamosi. Mechi muhimu ya kihistoria. Halafu kuna hawa watu wa Dar wanaojiita Yanga lia lia wao ushabiki wao mwisho mitandaoni. ๐Ÿ˜…
The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

VIONGOZI AINA YA RAIS SAMIA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Muadilifu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana huruma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mpole ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mwaminifu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana upendo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mnyenyekevu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Msikivu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mkarimu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana roho nzuri ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mkweli ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Muwazi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Sio muonevu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana tenda haki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Amefanya maisha yamekua rahisi 2025 ni mwaka wa

VIONGOZI AINA YA RAIS SAMIA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Muadilifu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana huruma
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mpole 
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mwaminifu 
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana upendo 
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mnyenyekevu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Msikivu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mkarimu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana roho nzuri
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mkweli
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Muwazi
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Sio muonevu
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Ana tenda haki
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Amefanya maisha yamekua rahisi

2025 ni mwaka wa
The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

Macho ya na Masikio ya watanzania wote yapo Dodoma kwenye Mkutano wa CCM na Samia Dodoma Mambo Mengi sana yatajadiliwa ๐Ÿ”ท๏ธ Kupanga na kusimamia utekelezaji wa shughuli za CCM ๐Ÿ”ท๏ธ Kutoa maelekezo ya mipango na utekelezaji wa siasa za CCM ๐Ÿ”ท๏ธ Kudhibitisha, kukubali, kukataa

Macho ya na Masikio ya watanzania wote yapo Dodoma kwenye Mkutano wa CCM na Samia Dodoma 

Mambo Mengi sana yatajadiliwa

๐Ÿ”ท๏ธ Kupanga na kusimamia utekelezaji wa shughuli za CCM

๐Ÿ”ท๏ธ Kutoa maelekezo ya mipango na utekelezaji wa siasa za CCM

๐Ÿ”ท๏ธ Kudhibitisha, kukubali, kukataa