
Mnada Nchege
@mnadanchege
Mkulima
ID: 2414301461
http://Nchege.co.tz 16-03-2014 04:12:16
7,7K Tweet
2,2K Followers
1,1K Following


#FreeKaswahili Kaswahili was last seen May 22 and has disappeared - an active Chadema member who had been abducted before and threatened many times! Police Force TZ mara ya mwisho alioowasiliana na wenzake alisema amechoka amepumzika - inasemekana alifuatwa nyumbani! Tunataka majibu!


Kwani kuna mwenye haki zaidi ya kuishi? Mwigulu Nchemba, PhD unajiona una haki ya kuishi kwa amani na familia yako kuliko Mdude Nyagali ? Unaleta bango la kipuuzi unatutia hasira bure! Kudai #NoReformsNoElection siyo vita kwa watanzania bali kwenu madhulmat! 🙄 Usitutie hasira!














Hiki kiburi kitaisha ❌ Mungu anawapiga upofu na hamshtuki! Eniwei Chama Cha Mapinduzi mwisho wenu umeshafika na umeandikwa mbinguni na duniani - tunasubiri muda tu haya yajidhhirishe kikamilifu machoni Mtakuja kuniambia ila ndo Ukweli #NoReformsNoElection haiepukiki tena!




