Double pivot ⚡ (@michaelpiu48127) 's Twitter Profile
Double pivot ⚡

@michaelpiu48127

Football♥️

ID: 1643644811856039936

calendar_today05-04-2023 16:01:01

8,8K Tweet

670 Followers

2,2K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Listen, tuko milioni sitini. Hatuwezi kukubali kuongozwa na wahuni, wafiraji na wanaouwa Watanzania ili wasalie madarakani. Tunastahili viongozi bora na siasa safi. Hata nikifa leo, ifahamike nilikataa huu ujinga! God bless Tanzania 🇹🇿 #NoReformsNoElection

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu anaitwa Frida Mikoroti. Leo ni siku ya pili tangu atekwe na Jeshi la Polisi maeneo ya Mbezi Malamba Mawili. Mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi bila mafanikio. Gari waliyotumia kumtekea ni PT 4855 #FreeFridaMikoroti

Huyu anaitwa Frida Mikoroti.

Leo ni siku ya pili tangu atekwe na Jeshi la Polisi maeneo ya Mbezi Malamba Mawili.

Mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.

Gari waliyotumia kumtekea ni PT 4855 

#FreeFridaMikoroti
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Ombi la leo; Mungu tupe watanzania mioyo ya kupambania haki na uhuru wetu kutoka kwa viongozi wezi, madhulmati na wabinfasi bila kuchoka. 🙏🏿

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Maelfu ya waandamanaji wamekusanyika katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires, wakidai haki kwa wasichana watatu ambao wameuwawa kwa mateso huku manyanyaso yao yakioneshwa moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii. Maandamano hayo yamefanyika Septemba 27, 2025 huku baadhi ya

Maelfu ya waandamanaji wamekusanyika katika mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires, wakidai haki kwa wasichana watatu ambao wameuwawa kwa mateso huku manyanyaso yao yakioneshwa moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii.

Maandamano hayo yamefanyika Septemba 27, 2025 huku baadhi ya
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Hao vijana wanaosapoti hiko chama cha kijani kwa hashtags na mambo yote ningewaona wamaana kama isingekuwa WANALIPWA kufanya hivyo. Ukweli mimi ninanjaa lakini wao wananjaa zaidi na kama mimi ni mjinga wao ni wajinga zaidi maana najiuliza hayo yanawezekanaje kwa mtu mwenye akili.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya Msingi ya Mabadiliko katika kuliponya Taifa 1. Katiba Mpya Inayotokana na Maoni ya Wote Tunahitaji katiba mpya iliyoandaliwa kwa uwazi na ushirikishwaji wa wananchi wote – si ya wanasiasa peke yao. Hii katiba lazima iwe mwongozo wa haki, usawa, uwajibikaji na ulinzi wa

Mambo ya Msingi ya Mabadiliko katika kuliponya Taifa

1. Katiba Mpya Inayotokana na Maoni ya Wote
Tunahitaji katiba mpya iliyoandaliwa kwa uwazi na ushirikishwaji wa wananchi wote – si ya wanasiasa peke yao. Hii katiba lazima iwe mwongozo wa haki, usawa, uwajibikaji na ulinzi wa
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Nimetumiwa huu ujumbe usiku huu na mtu ambae katoka Central anasema kwamba amemwacha Frida Mikoroti lock up. Najiuliza kwanini mpaka sasa Ofisi ya ZCO Mafwele inaendelea kusema kwamba hawajamkata wala hawamshikilii Frida lengo lao ni nini? #FreeFridaMikoroti

Nimetumiwa huu ujumbe usiku huu na mtu ambae katoka Central anasema kwamba amemwacha Frida Mikoroti lock up.

Najiuliza kwanini mpaka sasa Ofisi ya ZCO Mafwele inaendelea kusema kwamba hawajamkata wala hawamshikilii Frida lengo lao ni nini?

#FreeFridaMikoroti
Malkia Nyuki 👑 (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 🚨 Please help! Tag Elon Musk Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 

🚨 Please help!
Tag <a href="/elonmusk/">Elon Musk</a> <a href="/Support/">Support</a> to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender &amp; victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Wapendwa Mawakili wa Chama wamefika Central wamefanikiwa kumuona na kuzungumza na Frida Mkoroti, Kiduku na Izack. Kwasasa wanapambana kuona kama watapewa dhamana au kufikishwa Mahakamani. Tuendelee kupaza sauti kwa ajili yao. #FreeFridaMikoroti #FreeKiduku #FreeIzack

Wapendwa 

Mawakili wa Chama  wamefika Central wamefanikiwa kumuona na kuzungumza na Frida Mkoroti, Kiduku na Izack.

Kwasasa wanapambana kuona kama watapewa dhamana au kufikishwa Mahakamani.

Tuendelee kupaza sauti kwa ajili yao.

#FreeFridaMikoroti #FreeKiduku #FreeIzack
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

October inanukia sana harufu ya UKOMBOZI.🙌🏾 Ni wazi October itakuwa msimu wa furaha na ushindi.💪🏾 Naona October nchi yetu🇹🇿 ita-trend duniani; but this time in a heroic way. VAMOS!!

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Thank you Elon Musk Support X for reinstating @sativa255. Free speech must be protected— activists’ voices can’t be silenced by dictatorships. @sativa255 is back, b*tches ✊🏾🔥 #RestoreSativa255 #FreeSpeech.

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Madam President Samia Suluhu pokea ujumbe huu mzito kwa niaba ya CCM halafu ukae chini utafakari kama unastahili kuendelea na hicho unachokiita UCHAGUZI.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Nadhani ambacho watawala wengi waliokaa madarakani Kwa muda mrefu hawakijui hakuna kitu wananchi kinawauma kama kukosa huduma za muhimu na Kuona Kodi zao zinachezewa na viongozi na watoto wao, ukiangalia mifano ya maandamano ya hivi karibuni sababu ni zile zile nchi zote.

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

BIG BAN 🚫 Andrew Kambarage Nyerere tells Samia Suluhu: Do NOT visit Mwalimu Julius Nyerere’s grave in Butiama. He says Samia has betrayed the principles his father stood for — any visit would ridicule his legacy. #Tanzania #Nyerere

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kimara Kona, Ubungo, Dar es Salaam, asubuhi ya leo. Wananchi wanaimba “tunamtaka Tundu Lissu”. Mbogamboga mchezo wenu wa kuwalazimisha wananchi kuwapenda kwa lazima haujazaa matunda. Pamoja na kumtunza TAL gerezani siku 180 anakumbukwa na wananchi na wanaimba jina lake bila