Marktito (@marktito12) 's Twitter Profile
Marktito

@marktito12

?

ID: 1513832055867650049

calendar_today12-04-2022 10:51:17

120 Tweet

32 Followers

295 Following

Malkia Nyuki πŸ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning! The pressure of getting older and society telling us where they think we should be and some things we should own by now is very high πŸ™‹πŸΎβ€β™€οΈ

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Balozi Dkt Pindi Chana amesema kuwa ujenzi wa Makumbusho hiyo unaenda sambamba na adhma ya Serikali ya kuiendeleza Dodoma kama Makao Makuu ya Serikali.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kheri Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru. Imekuwa safari yenye changamoto na mafanikio mengi ambayo Taifa letu linajivunia. Tutumie siku hii kutafakari na kuweka dhamira ya kuongeza juhudi na maarifa ya kulipeleka Taifa letu mbele na kwa kasi zaidi.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

M/Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Dr Hussein Ali Mwinyi , akiwapungia mkono wananchi wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kuwa mkmu Mwenyekiti wa CCM. Hafla ya mapokezi ilifanyika jana kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume. #KaziIendelee

M/Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais <a href="/DrHmwinyi/">Dr Hussein Ali Mwinyi</a> , akiwapungia mkono wananchi wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kuwa mkmu Mwenyekiti wa CCM. Hafla ya mapokezi ilifanyika jana kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume.

#KaziIendelee
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwapungia mkono wananchi wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kuwa mkmu Mwenyekiti wa CCM.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwapungia mkono wananchi wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kuwa mkmu Mwenyekiti wa CCM.
Airtel Tanzania (@airtel_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Smart TV wiki hii imeenda kwa Stephano Mwalongo wa Njombe Zawadi bado zipo.. Endelea kununua bando na kufanya miamala ya Airtel Money ujishindie MILIONI 1 kila siku, Friji, Smart Tv na Smartphone kila wiki. Bodaboda kila mwezi. Na zawadi kubwa ya MILIONI 50 #UpigeMwingiNaAirtel