gambutti (@manujustip) 's Twitter Profile
gambutti

@manujustip

.......

ID: 1456118176907939841

calendar_today04-11-2021 04:40:48

2,2K Tweet

2,2K Followers

5,5K Following

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

JOHN WEGESA HECHE β€œMimi Mdogo Wangu Ameuwawa Kituo Cha POLISI Halafu Mnasimama Mnasema Polisi Hawaui Watu” Mpeni RT 200🀝

SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile Photo

Tumieni kila mbinu lakini mjue saizi hakuna fala,tutaenda nanyinyi hadi mteme ndoano. Kufadhili Chama sio mbinu,nikufanya deni lataifa kuongezeka tu. Wekeni reforms, katiba mpya. Unless otherwise mtakopa matrilion Tena. Hizi sura hazipaki make up kama Zenu. Sura zakaziπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Tumieni kila mbinu lakini mjue saizi hakuna fala,tutaenda nanyinyi hadi mteme ndoano.
Kufadhili Chama sio mbinu,nikufanya deni lataifa kuongezeka tu.
Wekeni reforms, katiba mpya.
Unless otherwise mtakopa matrilion Tena.
Hizi sura hazipaki make up kama Zenu.
Sura zakaziπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Sala ya Kutubu Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipate kurudi. Amina

Sala ya Kutubu

Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi.
 
Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipate kurudi.

Amina
SIASA SAFI (Nyegere Wa Afrika/Honey badger) (@ikindakani11826) 's Twitter Profile Photo

Mwamba makini sana,sio chawa, hajawahi kuwa mbunge wala diwani wala rais, lakini anapigania haki. Duniani wako wachache sana, halafu halipwi,na anaishi maisha poa zaidi ya machawa. AKILI MINGI SANA MWAMBA πŸ‘πŸ‘ Ishi sana kamanda,πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Mwamba makini sana,sio chawa, hajawahi kuwa mbunge wala diwani wala rais, lakini anapigania haki.
Duniani wako wachache sana, halafu halipwi,na anaishi maisha poa zaidi ya machawa.
AKILI MINGI SANA MWAMBA πŸ‘πŸ‘
Ishi sana kamanda,πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Kama kukaa na kura yako ndio kulinda basi hata kufanya kazi watu wasifanye wakae tuu majumbani wawasusie maccm. Maana ukifanya kazi unalipa kodi na hiyo kodi ndiyo inatumika serikalini wenzenu wananunulia MaV8 na sasa hivi wanataka na Private number wasikae foleni.😒😒

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Taifa ambalo redioni asubuhi wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi panakucha. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiliamali, kilimo, midahalo. Hilo taifa lipo KABURINI kitambo". Prof Lumumba

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tundu Lissu kueleza Mahakama utaratibu wa makazi yake akiwa gerezani ulivyo wa ajabu, na kwamba hatendewi haki, amelitaka jopo la mawakili wake wajiondoe na atajitetea mwenyewe katika shauri lake la uhaini. Hivyo, kuanzia sasa ni Tundu Lissu Vs Mawakili wa Serikali.

Lucas Shemu (@lucasshemu) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese If a prominent lawyer, high profile politician and former TLS President can be treated like that, what hope is there for the ordinary _mwananchi?_ It makes me question whether our legal systems and laws were truly established to deliver justice for all. #LissuSiMhaini

<a href="/IAMartin_/">Martin Maranja Masese</a> If a prominent lawyer, high profile politician and former TLS President can be treated like that, what hope is there for the ordinary _mwananchi?_ It makes me question whether our legal systems and laws were truly established to deliver justice for all.
#LissuSiMhaini
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.

Jana usiku watu wasiojulikana wamenivamia. Katika purukushani waliniumiza kwa kunipiga kitu chenye ncha kali kichwani na kunivunja taya ya meno ya chini. Nimeletwa hospitali sijitambui na siwezi kula, kunywa wala kuongea. Nimeumia kichwani sana hapo nyuma nimeshondwa nyuzi saba.
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Nimegundua kitu β€” Wasukuma ni β€œpresident material”! πŸ’ͺ🏽Sio watu wa kona kona, hawapendi makuu, na wapo loyal kama Wamasai. Akijitokeza Msukuma kugombea urais siku moja, tumpe kura full mkono! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ