
BUDAH
@mangejr_
Degree holder (BAED)
Teacher at CHONA SS
ID: 1853518804430598144
04-11-2024 19:25:31
114 Tweet
8 Followers
275 Following










Kesho, Jumatatu, tuhudhurie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu. Kwa kuwa hadi sasa Mahakama ya Tanzania hawajatueleza kama wataonesha ‘LIVE’ mwenendo wa kesi hizo, sote tujitokeze Mahakamani. #TunduLissuSioMhaini #NoReformsNoElection








Maria Sarungi Tsehai Tundu Antiphas Lissu Hii ni kiboko...tulisema wamwachie wakatuna mafuvu! Maana kwa mujibu wa katiba ya Tanzania serikali inaundwa na RAIS, MAKAMU WA RAIS, PM, MWANASHERIA WA SERIKALI, hao ndo watakuja kuthibitisha serikali yao ilihainiwa/ilipinduliwa vipi? Next level ya watu Genius.
